JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
- Thread starter
- #41
mbona umerudi haraka????
we acha tu majukumu ya hapa na pale, hope tutaonana safarii hii
mbona umerudi haraka????
Safari zako zina warakini flani! Ghost @ work ili ubainike ukweli wa safari zako
Karibu sana Jiwe Linaloishi
Ila nahisi kama namimi kesho ntaenda kwa Mji wa @c6
Erickb52 anajua ninao wengi tuu na amenikubali hivyo hivyo aise na watoto wangu wengi Passion Lady aise nakutafutaje tukapate ndyofu baridi na Erickb52 anajua vijiwe bomba hapa mjini na hapo umwambie Ruttashobolwa kuwa umeenda kwaya Mamndenyi zawadi zinakuja na fastjet ya jioni leo so jiandae kuzipokea
we niambie mko wapi nije kundyofukahusbnd wangu anajua kabisa hua siimbi kwayanitamuaga naenda kulala msibani hahaaa!
hahah hazina mashaka mkuu wasiwasi wako ndio mwanzo wa maradhi yako
duh poa mkuu tutacheki maratiba yatakavyokuwa
Sema ukweli wa kinacho kupeleka huko ilh umuaibishe lucifer
Naandaa mchango wa harusi safari hii si ya bure lazima ijibu.
Love kama unakwenda msibani ntakusindikiza!
Hahaha...mbio za farasi mie simbilisi niziweze wapi...siku ile nilikua nahakiki tu maadili ya ndoa ili Kamati ya Ndoa iwaandalie Cheti....lol
Hapo nimetulia tuli kama yai linaloatamiwa na mteteee....i luv my sweetcandy measkron
Hahaha...mbio za farasi mie simbilisi niziweze wapi...siku ile nilikua nahakiki tu maadili ya ndoa ili Kamati ya Ndoa iwaandalie Cheti....lol Hapo nimetulia tuli kama yai linaloatamiwa na mteteee....i luv my sweetcandy measkron
Mkuu Ruttashobolwa umeamua kukaba mpaka penalti aise Dah ni mazoezi ya kwaya tuu hakuna mengine aiseKwaya nitamsindikiza kama ameamua kuimba!
Mkuu Ruttashobolwa umeamua kukaba mpaka penalti aise Dah ni mazoezi ya kwaya tuu hakuna mengine aise