sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Mtoe sweetlady kwenye hyo list. Nipo naye dar
Ndio mana I love you miaka mia moja manake unajua kuniwakilisha vema..... Mpendwa Jiwe Linaloishi kama alivokushauri baba mtoto wangu Nicas Mtei mie nipo dar hivyo hatutaweza kuonana ila hope ushakuwa mwenyeji so nategemea mambo yataenda sawa sawia.... Happy easter!!!
Last edited by a moderator: