Jiwe safarini arusha part 2

Jiwe safarini arusha part 2

Jiwe Linaloishi karibu sana mkuu naamini mara hii tutaonana Erickb52 habari zako bana umepotea kama jasho la kuku Passion Lady namuogopa loya bana Ruttashobolwa asije akanipa kesi ya trespass aise maana yule hakawii Mamndenyi nimekumiss wewe
Easter ndo hiyo inakuja aise na kuna zawadi zako nyingi tuu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Twakuombea salama na baraka za Mungu mwenyezi.Be a good boy. Tuombe
............
Baba katika jina la Yesu..namkabidhi Jiwe Linaloishi mikononi mwako..Naomba ukamlinde katika safari yake na muda wote atakuwa huko..Umjalie kibali katika kazi yake..Katika jina la Yesu ninakemea roho zote za yule ibilisi..Baba uilinde na familia yake pia na kwa damu ya Yesu wakapate ulinzi wako..
Katika Jina la Yesu nimeomba..Ameeen.

Amen!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Erickb52 anajua ninao wengi tuu na amenikubali hivyo hivyo aise na watoto wangu wengi Passion Lady aise nakutafutaje tukapate ndyofu baridi na Erickb52 anajua vijiwe bomba hapa mjini na hapo umwambie Ruttashobolwa kuwa umeenda kwaya Mamndenyi zawadi zinakuja na fastjet ya jioni leo so jiandae kuzipokea

we niambie mko wapi nije kundyofuka
husbnd wangu anajua kabisa hua siimbi kwaya
nitamuaga naenda kulala msibani hahaaa!

 
Twakuombea salama na baraka za Mungu mwenyezi.Be a good boy. Tuombe
............
Baba katika jina la Yesu..namkabidhi Jiwe Linaloishi mikononi mwako..Naomba ukamlinde katika safari yake na muda wote atakuwa huko..Umjalie kibali katika kazi yake..Katika jina la Yesu ninakemea roho zote za yule ibilisi..Baba uilinde na familia yake pia na kwa damu ya Yesu wakapate ulinzi wako..
Katika Jina la Yesu nimeomba..Ameeen.

amen, many thanks my dear
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom