Ynnah karibu arusha mimi naondoka

Ynnah karibu arusha mimi naondoka

JiweLinaloishi

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
3,737
Reaction score
2,139
YNNAH karibu sana Arachuga, mimi kesho naondoka kwenda Dar ila Ntarudi, kuwa makini mji mtamu huu na wenyeji wakarimu sana akili ku mkichwa
Hope mtoto anaendelea vyema tutaendelea kumwombea apone haraka.

Wakuu shukrani kwa kujumuika pamoja, arusha ntarudi kutangaza jamhuri tuombe uzima tu

YNNAH nikirudi ntakuhamisha kwenye zile kota ili uwe huru.... PJ atafurahi sana


CC PakaJimmy,Arushaone, Filipo, Mr Rocky Erickb52 Tonykp Mzee wa Rula,Mungi
Preta sweetlady Blaki Womani, Lily Flower, marejesho Passion Lady na wengineo wote
 
Jiwe Linaloishi hujapata habari ndege yako imehairisha safari mpaka mwezi ujao na daraja la mto Wami limevunjika.

Keep on staying meen!

YNNAH nampa uraia wa chugga.
 
Last edited by a moderator:
Jiwe Linaloishi hujapata habari ndege yako imehairisha safari mpaka mwezi ujao na daraja la mto Wami limevunjika.

Keep on staying meen!

YNNAH nampa uraia wa chugga.

haiwezekani mkuu hili lori tushalitoa na mvua tushazifunga anga iko safi kwa ndege kuruka ikishindikana ntatumia utaalam kutoka kwa Katavi
12.png
 
Inshallah mahbuba YNNAH.
Kopi: Judgement......ulie tu

Wee Bishanga! Yaani ishia hapohapo!
Umepata wapi access ya kuniumbia hadharani?
Sio siri nikiwa kwenye pitch na YNNAH ni lazima NILIE! (naililiaga) asa we umejuaje? Kama sio mwanga, basi kuna siku ulitupiga bodi la chabo!
Ukirudia tena maneno kabila hii nakulaza ndumwa!
Ukome.
Staki utani wa ukweli-ukweli ujue?
 
Last edited by a moderator:
dar joto YNNAH nisubiri huko huko arusha narudi jpili... nshazoea kipupwe cha huko..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom