Jiunge na program yetu kuweza kufanyakazi TANESCO

Jiunge na program yetu kuweza kufanyakazi TANESCO

Status
Not open for further replies.
Kazi yetu ni kutoa maarifa. Kujenga daraja.. Mabadiliko hayo nimehusika katika implementation. Nimeona fursa ndani ya mradi. Ila kwa miaka ijayo Taasis za Umma zitaacha kuajiri kwa kutumia vyeti kwasababu hawana mda wa kutrain mtu haendane na mabadiliko kiteknolojia.. Lazima uwe na msingi mzuri wa mabadiliko hayo. Ndiyo tunachofanya.. Kwa mfano wewe unadegree ya Account au procurement, huwezi fanyakazi TANESCO. Teeknolojia wanayoitumia katika kufanyakazi ya procurement ni kubwa unahitaji mda mrefu kuimaster.Nan ana mda huo kukufundisha wewe?, Ndiyo maana ya kuja Training center kama hizi.
Kaaa na TANESCO vizuri muyajenge mkuu
 
Kaaa na TANESCO vizuri muyajenge mkuu
TANESCO ni taasis kubwa. Baada ya 4 years in the Mega Digital Transformation project in TANESCO. Nikagundua kwamba lack of information ndio inasababishwa watanzania kutoajiliwa kwenye miradi wanayopewa wakandarasi wa nje. Hakuna chuo Tanzania kinachofundisha ERP. Kwahiyo tunaendela kusema mabadiliko lazima yafundishwe street.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom