Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,852
- 58,642
😄😄😄😄😄 Daaah nimecheka sana yupo very active ila kwenye uzi wake kule kajikausha kimya..🤣🤣🤣🤣🤣,nilikuita uje robot linavyoshushua 😀
Anajibu kwa chat gpt
😄😄😄😄😄 Daaah nimecheka sana yupo very active ila kwenye uzi wake kule kajikausha kimya..🤣🤣🤣🤣🤣,nilikuita uje robot linavyoshushua 😀
🤣🤣🤣🤣,mwenye Uzi kapita hivi🚶♀️🚶♀️😄😄😄😄😄 Daaah nimecheka sana yupo very active ila kwenye uzi wake kule kajikausha kimya..
Anajibu kwa chat gpt
Watu wanasema tanesco kawahi mapema kabla kilio ajawaliza watu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, Tanesco hataki ujinga.
Tanesco jau... Na hapo jamaa kashafatwa PM.... 😄😄😄🤣🤣🤣🤣,mwenye Uzi kapita hivi🚶♀️🚶♀️
🤣🤣🤣🤣🤣,kilio huko alipo anamsonya tu Tanesco 🤣Watu wanasema tanesco kawahi mapema kabla kilio ajawaliza watu
Tanesco jau 😄😄😄😄😄😄🤣🤣🤣🤣🤣,kilio huko alipo anamsonya tu Tanesco 🤣
Kilio anataka kuliza watu 😅Hili msijichanganye na fursa🤣🤣🤣
Tanesco wanesanua mambo🤣🤣🤣Kilio anataka kuliza watu 😅
Haifiki yule🤣🤣🤣🤣🤣,
Kilio Cha Samaki majini 😅😅😅Tanesco wanesanua mambo🤣🤣🤣
Tanesco wamejua kunifrahisha😁😁,Kilio Cha Samaki majini 😅😅😅
😅😅😅😅😅Tanesco wamejua kunifrahisha😁😁,
Jina lenyewe kilio🙄😅😅😅😅😅
Sijakuelewa unamaanisha nin? Kazi yangu ni kuuza maarifa niliyofanyiakazi katika hayo mabadiliko. Remember "Innovation starts from the Street". Jifunze hii,Tanzania Revenue Authority (TRA) Kutoka nje ya taasis yao kutafuta mawazo mapya yatakayosaidia kukusanya kodi na kuimarisha mifumo yao, Wao si Wajinga. TRA kuna wafanyakazi zaidi ya 3000 , wa kada mbalimbali na wenye uzoefu. LAKINI wameamua kuja mtaani kutafuta mawazo mapya. Uongozi wa TRA wanajua Mtaani kuna watu maarifa makubwa ila wamekosa oppurtunity. Mtaan kuna watu wenye njaa, watu wenye roho ya Simba, na wenye akili nyingi.Habari ndugu kilio,
Tunapenda kukufahamisha kuwa TANESCO haitohusika na kitu chochote kitakacho sababishwa na program hii. ^GK
Sina fani ya umeme, Hila ndiyo sehemu ya hayo mabadiliko kwa miaka 4. Na ndiye aliyekuwa mtanzania pekee kwenye hayo mabadiliko kutoka timu ya contractor na Consultant.. Ujuwe mradi mkubwa kama huo hupo katika nchi yako Code 255, halafu ni mtanzania pekee unaofanyakazi . lazima upate mashaka na uwezo wa watu katika nchi yako ni mdogo. Degree yako ya umeme haiwezi fanyakazi AI-driven innovation in power sectorAna fani ya umeme😁
Kazi yetu ni kutoa maarifa. Kujenga daraja.. Mabadiliko hayo nimehusika katika implementation. Nimeona fursa ndani ya mradi. Ila kwa miaka ijayo Taasis za Umma zitaacha kuajiri kwa kutumia vyeti kwasababu hawana mda wa kutrain mtu haendane na mabadiliko kiteknolojia.. Lazima uwe na msingi mzuri wa mabadiliko hayo. Ndiyo tunachofanya.. Kwa mfano wewe unadegree ya Account au procurement, huwezi fanyakazi TANESCO. Teeknolojia wanayoitumia katika kufanyakazi ya procurement ni kubwa unahitaji mda mrefu kuimaster.Nan ana mda huo kukufundisha wewe?, Ndiyo maana ya kuja Training center kama hizi.Watu wanasema tanesco kawahi mapema kabla kilio ajawaliza watu
sahihi kabisa, kila la kheri kakaNi ukosefu wamaarifa, ndio unaosababisha nchi hii isiendelee..