Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 40,710
- 97,395
Thubutuuuu.!! Sifugi marioo mzee age go ๐๐๐๐Sasa wewe ndio mkubwa mwenzangu, hawa watoto kiukwel stress tupu jirani, fanya tuhifadhiane nafasi, halafu nipate na mteremko kukaa kwangu, maana nikishakua wako, kwako ni kwangu jirani.๐ ๐ ๐