Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
yewoooo...ukampa shati lako?? hilo lishafika kwa babu tanga. tusubiri tu ndoa sasa. alililiiiiiiii....
Dogo hajui 'kutongozwa na wadada kukoje'
kampa shati kweli badala ya kumuambia njoo 'home' uchague mwenyewe
cc Evelyn Salt
Hah ha haaa...wee kweli ni MSAGA SUMU. Hizi ID hazidanganyi aseesiku nyingine jamaa yako akija kukutembelea weka kibirit na kitunguu nje,akipiga hodi tu mwambie vitu vyuko nje tayar
Mpendwa usifanye moyo kuwa mgumu, from no where tu mwanamke aombe shati lako na alive??? Kuna kameseji anakupa tuna mbinu nyingi za kurubuni achana na ile old aliyoitumia Eva kwa Adam...IJefe, huyu hakuwa akinitongoza wala kunitega. Alipenda shati tu. I've been a mack since standard six, so I know for a hundred how to get around. Zaidi ya shati na ushkaji wa kawaida, hakuna ajenda nyingine zozote kati kwa pande zote.
Mpendwa usifanye moyo kuwa mgumu, from no where tu mwanamke aombe shati lako na alive??? Kuna kameseji anakupa tuna mbinu nyingi za kurubuni achana na ile old aliyoitumia Eva kwa Adam...I
Anakuita huyo itika bana, mwambie una shati lingine zuri kuliko hilo aijie teh
Cc The Boss kwa ushauri zaidi
Kataviiiiiiiii.... Unaniangusha banah ahame kisa huyo binti mapepe, hahaha atahama kila mahali maana kila uendapo unakutana na jirani wa tofauti interms of personality, anaweza akahama hapo akakutana na mbaya kabisa, ila hili anaweza akalimudu lipo ndani ya uwezo wake ni amkazie tu na amwambie ukweli, mambo ya kumchekea mtu anaye kuboa unatengeza mazingira ya kuwa mtumwa ukiwa serious nikuweka na kuboresha MIPAKA basiHakuna namna zaidi ya kuhama hapo.
Nini kukuhisi unatoka na Boss, mtu anajua una mke ana kufata itakua Boss ha ha haHakuna kabisa mpendwa. Huyu manzi kwanza tumekutana kupitia boss wake, na ofisi yao nzima wanahisi mi natoka na huyo boss, ambayo si kweli pia. So hiyo ni moja ya sababu hawezi "kunijia".
Aisee nikifunguka vituko vya hawa kina mama wanaonizunguka daily, na navyovichukulia si ndio mtaniua kabisa. Hiyo issue ya shati wala haina zaidi kupenda shati.
Umesema kweli mkuu, lakini mtoa mada inaonekana kabisa kama hana ujasiri wa kumpa makavu huyo jirani mkorofi.Kataviiiiiiiii.... Unaniangusha banah ahame kisa huyo binti mapepe, hahaha atahama kila mahali maana kila uendapo unakutana na jirani wa tofauti interms of personality, anaweza akahama hapo akakutana na mbaya kabisa, ila hili anaweza akalimudu lipo ndani ya uwezo wake ni amkazie tu na amwambie ukweli, mambo ya kumchekea mtu anaye kuboa unatengeza mazingira ya kuwa mtumwa ukiwa serious nikuweka na kuboresha MIPAKA basi
Nini kukuhisi unatoka na Boss, mtu anajua una mke ana kufata itakua Boss ha ha ha
Hahahaha ngoja tumpe mbinu mkuu, akitaka ampe MAKAVU LIVE akapige kiroba tu mbona tumeona nguvu ya kiroba/gambe kwa ex-waziri Charles inavyo kupa confidence, akishatupia gambe amsubirie aingie kwenye box... Utafurahi...Umesema kweli mkuu, lakini mtoa mada inaonekana kabisa kama hana ujasiri wa kumpa makavu huyo jirani mkorofi.
Hakuna kabisa mpendwa. Huyu manzi kwanza tumekutana kupitia boss wake, na ofisi yao nzima wanahisi mi natoka na huyo boss, ambayo si kweli pia. So hiyo ni moja ya sababu hawezi "kunijia".
Aisee nikifunguka vituko vya hawa kina mama wanaonizunguka daily, na navyovichukulia si ndio mtaniua kabisa. Hiyo issue ya shati wala haina zaidi kupenda shati.
Hahahaah huyo inaonekana Gambe ndio itampoteza kabisa atakosa ujasiri kabisa.Hahahaha ngoja tumpe mbinu mkuu, akitaka ampe MAKAVU LIVE akapige kiroba tu mbona tumeona nguvu ya kiroba/gambe kwa ex-waziri Charles inavyo kupa confidence, akishatupia gambe amsubirie aingie kwenye box... Utafurahi...
siku nyingine jamaa yako akija kukutembelea weka kibirit na kitunguu nje,akipiga hodi tu mwambie vitu vyuko nje tayar
Location ya kuishi sijui masaki sijui wapi sio tatizo tatizo ni watu unaoishi nao!!! Sijakataa kuulizwa ila ni tabia mtu amejijengea na siipendi!!! Mtu ana upara ananiuliza nimesuka bei gani iweje? Nimenunua simu mpya anataka nimjulishe iweje? Au anauliaza kama nimenunuliwa na mpenzi? Lazima ni question her motives ama reasons za kuuliza hivi.
FYI ninapoishi kuna watoto wa jirani nawapenda na wananipenda balaa nawawekea cartoon mara moja moja na h/work nafanyaga nao.
Vipi ushamrudisha housegirl kwao? Au umepata mke mwenza? Vipi mumeo bado akiongea na HG unawaweka kikao na kuwasuta?????
Umetisha mpendwa(kwa kugawa shati)
Nipo mpendwa napita mara chache chache siku hizi....humu chai zimezidi wanatuunguza midomo
Unamuharibu huyu mpendwa ha ha ha ni muimba kwaya banaInaonekana kuna 'fursa' zimekuzunguka hadi zinakuzidia uwezo
kama 'wadada' wanahisi 'unatembea na boss wao basi ujue boss wao kaonesha 'sign' za kukutaka
wao kama wanawake wameziona..wewe hujaziona....
Wanajua hujatembea na boss wao bado so na wao wanajaribu 'bahati' zao
au wanajaribu tu 'kurushana roho' wao kwa wao
huyo aliechukua shati analivaa ili tu kuwaonesha wenzie 'tayari'
wakae pembeni wampishe....ni mbinu tu za wadada...
Hiyo ni Kete Ngumu bhana!Siku moja usiku mwite chumbani kwako, akiingia zima taa sekunde tatu washa akukute umeshika bisu kubwa, atastuka, mwonye kwa ishara asisubutu kupiga ukelele, kisha mwambie, "USINIZOEE KUANZIA LEO VINGINEVYO UTAIJUA KAZI YANGU" zima taa mwambie "POTEA" hatorudia na nyumba atahama.