Jirani yangu simwelewi



Kama katoka shinyanga na hana ndugu mjini
usikute ni mshamba tu wa jiji
sasa nywele zinauzwa hadi vichochooni yeye anakushangaa wewe
iusikute wewe ndo 'Jlo wake wa kwanza kuishi nae mjini hapa'

mfundishe tu taratibu ataelewa.....na vile ulivyo vichoka choka mpe tu...
ila pia tabia ya kukugongea akiona 'kidume' usikute ana tabia za umbea na majungu na kuchimbachimba watu
so very soon utasikia aliyoyatunga if anazo....
 
Jirani jirani yanguuu nimekukosea niniii??? Aaah Wapi Twanga Pepetaaa
 
Nikionaga Avatar Ya kabanga Yule Mtu Alivyonuna Basi Aisee Na Sawa... Za Kabanga Nazisomaga Kwa Bass Nadhan Ile Avatar Ndo Inaongea Kwa Bass
Hahahaha!jaman,hivi nilijua ni mimi tu,bwana kabanga ananichekeshaga sana majibu yake mafupi tu nikirudi kwenye Avatar yake ndo nazidi kucheka,kwakweli natamani sana kumuona anafananaje mtu huyu.
 
Wanawake ktk ubora wao kuna kauli inasema wanawake hawapendani sijui ni kweli badilika kutokana na mazingira dada yangu kila mmoja amekulia ktk malezi tofauti mfano binafsi siwezi kukaa maskani na wala spendi kujichanganya na watu yaani niko kiupekee pekee na mda mwingi napenda niwe peke yangu just ni malezi tu ila fika mda unapaswa ubadilike kutokana na mazingira hebu mkaribishe awe rafiki yako usimzuie asiwe karibu na ww mkaribishe na ajue ww ni mtu wa aina gani yataondoka hayo maudhi km huwezi just ondoka hapo.
 
Pole sana,cha kufanya mchane tu,kama unashndwa kumwambia direct kuwa hupendezwi na tabia yake basi muonyeshe ishara kuwa hupendi akifanyacho,kama ni muelewa basi atafaha
 
nimekubali aisee
 
Nikionaga Avatar Ya kabanga Yule Mtu Alivyonuna Basi Aisee Na Sawa... Za Kabanga Nazisomaga Kwa Bass Nadhan Ile Avatar Ndo Inaongea Kwa Bass
nimechka kwa nguvu.....kumbe na ninyi huwa mnamuona na zile aiseeeee zake! avatar yake inasadifu yaliyomo ndani yake
 
huyo ni nyakunyaku siyo bure hata yaaan usimzoeee ana tamaa pitilizi
Roho mbaya haijengi. Mwenzio ndio kwanza kaingia jijini akishalijua jiji hayo yote yataisha. Kwani wewe ulijitawazisha mwenyewe udogoni?
 
yewoooo...ukampa shati lako?? hilo lishafika kwa babu tanga. tusubiri tu ndoa sasa. alililiiiiiiii....
 
Duh usirudie kugawa nguo aisee kuna watu wa ajabu acha.
 
huyo ni mswahili tu mwenye tamaa na mmbea. Nimeshakutana nao. Nilipomaliza chuo nilikaa nyumba ya peke yangu uswahilini kidogo nikawa naishi kivyangu vyangu sina habari na mtu zaidi ya salamu, ila baadae nikasema nisijitenge sana niwaungishe hata kusuka tu. loh! nilijuta. Mpaka umalize kusukwa ushahadithiwa stori ya kila mwanamke hapo mtaani na wala huwajui unaishia tu enhe..inhi..mmh. Ameshakwambia siri zake zote (we ndo unaona ni siri). Halafu wanawake wa kiswahili karibia wote wanajua wenzao vitu tunanunuliwa na wanaume, kwa hiyo akikuona na kitu kizuri anajua una "bonge la bwana"! Wale watu wanaishi maisha ya raha sana, hawana stress. Ambition kubwa ni kumiliki dera kama la flani, acheze upatu anunue "desin tebo" kama ya fulani .. baas.
 
Ukiendelea kumchekea atakojozwa na boyfriend wako. Hapa ni mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…