BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 2,665
- 4,615
Naipataje hiiAna Chuma ulete ya Nachingwea. Chuma ulete ya Nachingwea ni hatari na nusu

InboxNaipataje hii
Wee jamaa ni mchawiSio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut.
Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia,
1. Amejenga ndani ya miezi miwili au mitatu.
2. Tangu ahamie, muda wote yuko ndani, mara kadhaa hutoka au husafiri na ananiaga ila hakai hata wiki anarudi.
3. Anaagiza mahitaji kwa boda au mara nyingine anatoka, (hii sio ajabu sana).
4. Kuna mdada/ wadada wanakuja ila hawakai sana wanaondoka, jamaa yuko mwenyewe
5. Hana kufulia, au aje aombe kitu, mimi ndo niliwahi kwama nikamfata aniazime kiasi cha pesa.
6. Kusema ni jambazi anatoka usiku hapana, mana hata usiku yupo, na ni mpole sana hana shida na mtu.
Je, anaishije?
Haya maswali ni kamà maswali wanayojiuliza majirani zangu kuhusu mimi mpaka wakanichomea serikali ya mtaa eti nao wakaja kuniuliza. Siku hizi zama zimebadilika si lazima utoke nyumbani kutengeneza fedha
Umejibu vema mno.Dunia imebadilika sana siku hizi, ofisi sio kama zamani kwamba hadi uvae nguo, uendeshw gari au kupanda daladala hadi kwenye jengo kubwa, zuri.
No. Siku hizi unaweza ukawa na ofisi home kwako, kikubwa unachohitaji ni laptop na internet tu! So, inawezekana jirani yako anafanya kazi remotely, kazi ambayo akiwa kwa PC anamaliza kila kitu.
Hizo unalipwa kwa $$, so you can imagine kama unaspend kwa Tshs kibongo ni rahisi kuonekana you are well off.
Au labda anafanya issues za forex trading au cryptocurrency, ambazo na zenyewe what you need ni laptop na internet ya uhakika tu!
Mtafute mkuu Mshana Jr anaweza kukupa anuani ya chuo cha uchawi. Una vigezo vyote vya kupata bumu la kusomea kozi hiyo unayoipenda sanaSio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut.
Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia,
1. Amejenga ndani ya miezi miwili au mitatu.
2. Tangu ahamie, muda wote yuko ndani, mara kadhaa hutoka au husafiri na ananiaga ila hakai hata wiki anarudi.
3. Anaagiza mahitaji kwa boda au mara nyingine anatoka, (hii sio ajabu sana).
4. Kuna mdada/ wadada wanakuja ila hawakai sana wanaondoka, jamaa yuko mwenyewe
5. Hana kufulia, au aje aombe kitu, mimi ndo niliwahi kwama nikamfata aniazime kiasi cha pesa.
6. Kusema ni jambazi anatoka usiku hapana, mana hata usiku yupo, na ni mpole sana hana shida na mtu.
Je, anaishije?
Mmmh ivi kumbe kutoka usiku sana napo shidah itabidi nilekebishe hii ratiba nitaonekana jambazi kwa majiran
Hawa ndo Watanzania sasa, kwa namna ulivyo, wewe ni Mswahili hasa, sahau kufanikiwa, endelea tu kuishi kwa sababu umeamka unapumua....!Sio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut.
Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia,
1. Amejenga ndani ya miezi miwili au mitatu.
2. Tangu ahamie, muda wote yuko ndani, mara kadhaa hutoka au husafiri na ananiaga ila hakai hata wiki anarudi.
3. Anaagiza mahitaji kwa boda au mara nyingine anatoka, (hii sio ajabu sana).
4. Kuna mdada/ wadada wanakuja ila hawakai sana wanaondoka, jamaa yuko mwenyewe
5. Hana kufulia, au aje aombe kitu, mimi ndo niliwahi kwama nikamfata aniazime kiasi cha pesa.
6. Kusema ni jambazi anatoka usiku hapana, mana hata usiku yupo, na ni mpole sana hana shida na mtu.
Je, anaishije?
Anakaa Changanyikeni au Golani au Msewe au Savei au Makongo ?