Server mbili tofauti "on test"
- Ya kwanza ni C:asiaiks.ddxx.xx
- Ya Pili ni C: a1star.selfxx.xx
- Zote zinafanya vizuri kama Tv1 CCcam Server
- Hivyo kwa watumiaji wa QSAT / SPEED HD - Wategemee stability zaidi katika cccam
![]()
GHALAMA ZA UFUNGAJI DISH
1. Kufunga dish ili kupata FTA CHANNEL katika QSAT yako kwa kutumia LNB hadi nne (4) ukipenda, kwa satelite Tofauti tofauti ni tsh 50'000 tu. Hapa utapata local channel ZOTE.
2. Kufunga dish mwelekeo wa EUTELSAT 35.9E na kufanyiwa settings katika QSAT yako ni tsh 40'000
NB: Ghalama hizi ni kwa wakazi wa Dar es salaam, Kama upo mkoani na unahitaji moja ya hizi huduma waweza kunipigia 0784 496 856
KARIBU SANA