Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Hii kitu inabidi uwe na roho ya kuteleza...... Hapa ni shida....... inahitaji moyo wa kupuuza.... This service not reliable at all......
 
Hii kitu inabidi uwe na roho ya kuteleza...... Hapa ni shida....... inahitaji moyo wa kupuuza.... This service not reliable at all......
Ni ukweli ulio wazi! IKS daima huwa na UP's & DOWN, Sababu ni battle baina ya pande mbili.

Ili kuondokana kabisa na hizi up's & down moja ya yafuatayo inabidi yafanyike.
 
Apo kwenye Full HD (1080) ndo sielewi. 1080 inakuaje ni Full HD?!
 
Apo kwenye Full HD (1080) ndo sielewi. 1080 inakuaje ni Full HD?!
800px_Resolution_chart_svg.png
What Are 720p, 1080i and 1080p HDTV Resolutions?
 
Jamani nauza receiver yangu ya Qsat 23G ina account ya AvataCam kwa Tsh 180,000 NEGOTIABLE. Nauza kwasababu sehemu ninayokaa kuna shida ya internet hivyo sipati picha ya kutulia. Mwenye interest anicheck inbox au Call/Whatsapp: 0717 038512
 
Taarifa Kwa watumiaji wa QSAT
SPYCAM codes 61xx & CCCAM Account (for Canal 16A) - Available just call: 0717 54 57 62
 
hi bro, naomba software mpya ya xmaster mini HD X4, kwa sasa software version iliyopo ni stb v3.06.08 na hardware ni xxxm v0.1 natanguliza shukrani mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom