Mwl tafadhali nahitaji ac ntapataje na je vp gharama zake?
- Zinapatikana
- Call: 0717 54 57 62
ac ntapataje
je vp gharama zake?
- Wasiliana nami kwa na. 0717 54 57 62 ili kupata account utakayo hitaji
- Ni tsh 60'000 kwa ACAMHD ya miezi sita.
- Ni tsh 85'000 kwa CCCAM ya miezi mitatu
- Ni tsh 45'000 kwa IPTV account ya mwaka mmoja
I think this is the right time to use it. I will test with one and buy it more after being satisfied with the quality. I hope it wont let me regret.
Utajuta watumiaji wa hivi vitu wamevipotezea.promotion kubwa uka hamna kitu.usijaribu haya madude ni upuuzi mtupu ila wauzaji wana kauli nzuri.
ACCOUNTS ZILIZOPO NA GHALAMA ZAKE
60'000 kwa ACAMHD ya miezi sita.
85'000 kwa CCCAM ya miezi mitatu
45'000 kwa IPTV account ya mwaka mmoja
TUMIA MOJA YA MAWASILIANO YANGU KWENYE POST NO.1
KARIBU
- Nimekutumia PM ya Ufafanuzi
- Karibu
Mwl naomba kufahamu IPTV inahitaji GB ngapi za internet kwa mwezi (ukinipa kwa makadirio ya masaa mtu anayoangalia tv kwa siku itakua poa).. Lets say unaangalia masaa sita kwa siku..
Thanks
Naku-support hapo mkuu mimi changu nmekitupa store sa hivi kinapigwa na vumbi tu