Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

aug26.png
 
New IPTV - VIP2 INTERNET Bundle
  • 5GB - TSH 10'000
  • 10GB - TSH 15'000
  • 15GB - TSH 20'000
Vifirushi vyote ni kwa mwezi,

Waweza kujiunga mara nyingi kadri ya mahitaji yako wakati wowote - Hautosubiri hadi mwezi uishe.

Hizi package waweza kutumia pia kwenye simu za mkononi au PC.

Mawasiliano
  • JF PM
  • Skype: mw1rct
  • Whatsapp: +255 784 496 856
  • Au piga 0717 54 57 62

Nahitaji kujua nawezaje itumia kwa simu na PC pia
 
Nahitaji kujua nawezaje itumia kwa simu na PC pia
  • inawezekana kutumia katika simu na PC
  • Sababu ni simcard hiyo hiyo ndio utatumia kwenye kifaa chochote kile
  • Simu: 0717 54 57 62
 
coollogo_com_790813.png


Q-SAT Q28G:MPEG4, Full HD, GPRS/3G, DVB-T2+S2 Combo Satellite Receiver

edited2.jpg

Basic Info

Model NO.: q-sat q28g
Model: Q-Sat Q28g
1080P Full HD PVR: Support
Patch: Support
GPRS: Yes
3G: Yes
USB WiFi:Yes
Chipset: Sunplus 1512
DVB-T2+S2 Combo: Support
Youtube/Youpron: Yes
IPTV: Yes

Specification

* Easy mode setting to be Sharring Receiver/GPRS dongle/Sat Receiver
* Internet Key Sharing(IKS) through Cell phone network
* Plug and play SIM card support, phone date time, TV night time
* Fast Key update and channel change speed;
* Easy tool for Sat receiver software upgrade through RS232 port or USB(SAT mode)
* Fully DVB-S2/MPEG-4/H. 264 Decoder
* 8000 channels memory space (TV + Radio)
* Supports DiSEqC 1.0/1.1/1.2 and USALS
* Selectable output for 1080P, 1080I, 720P and 576P format
* Support EPG, display present / next TV program / 7 days EPG
* Support up to DiSEqC 1.0/1.1/1.2 & USALS
* User-friendly remote control colored function buttons
* USB multimedia files playback & PVR

edited1.jpg



edited3.jpg

QSAT Q28G

  • Bei ni 285'000 TU
  • KAMA UPO MKOANI NA HUNA NDUGU, JAMAA, AU RAFIKI HAPA DAR - BASI UTATUMIWA KWA NJIA YA BASI NA UTALIPIA TSH 10'000 TU
coollogo_com_29692313.png
 
QSAT TEAM: WAJA NA AINA MPYA YA DECODER

IMG_1702_1.jpg



Jina la Decoder: Telbox T1 Full HD Gprs Decoder

Account inazotumia: Spycam, DqIPTV , Cccam/NewCamMg

Kitu cha Pekee (ukilinganisha na matoleo ya nyuma: Ina "VFD"(Video front panel display) - Ambapo Channel namba na Jina la Channel vitaonekana katika panel yake

Maelezo kamili ingia hapa.
Code:
 [URL="http://www.lemmymorgan.com/telbox-t1-full-hd-gprs-decoder-from-qsat-team-quick-review/"]TELBOX T1 Full HD gprs Decoder – From Qsat Team Quick Review[/URL]
IMG_1696_1.jpg


IMG_1700_1.jpg
 
QSAT TEAM: WAJA NA AINA MPYA YA DECODER

IMG_1702_1.jpg



Jina la Decoder: Telbox T1 Full HD Gprs Decoder

Account inazotumia: Spycam, DqIPTV , Cccam/NewCamMg

Kitu cha Pekee (ukilinganisha na matoleo ya nyuma: Ina “VFD”(Video front panel display) - Ambapo Channel namba na Jina la Channel vitaonekana katika panel yake

Maelezo kamili ingia hapa.
Code:
 [URL="http://www.lemmymorgan.com/telbox-t1-full-hd-gprs-decoder-from-qsat-team-quick-review/"]TELBOX T1 Full HD gprs Decoder – From Qsat Team Quick Review[/URL]
IMG_1696_1.jpg


IMG_1700_1.jpg

Inaendaje bei yake na akaunti ya miezi mingapi?
 
TOLEO JIPYA LA SOFTWARE KWA RECEIVER ZA QSAT
m_20140101000758.jpg

Tarehe ya Toleo: 08.09.2015
Toleo la Software: v7.09.08 & v7.09.07
Lengo la hili toleo: Ni kufuta Menu ya AVATARCAM/DQCAM na kuweka MENU mpya ya SPYCAM
Sababu: (1) AvatarCam Codes zimasitishwa kutolewa na HAZITOTOLEWA tena, (2) Ni SPYCAM code pekee ndio zitaendelea kutumika kwa matoleo yote ya QSAT

DOWNLOAD HAPA FILE HUSIKA KWA RECEIVER YAKO
QSAT Q23G: QQMail File Hub
QSAT Q15G: QQMail File Hub
QSAT Q13G: QQMail File Hub
QSAT Q11G: QQMail File Hub
SPEED HDs1: QQMail File Hub
QSAT Q16G+: QQMail File Hub
QSAT Q13G+: QQMail File Hub
QSAT Q11G+: QQMail File Hub

HATUA ZA KUFUATA
1. Download faili husika kwa ku_click moja ya link hapo juu.
2. Fungua ZIP file ( waweza kutumia 7Zip au Winrar)
3. Copy .BIN file (ulilopata hatua namba 2.) na weka kwenye USB flash
4. Chomeka Flask kwenye receiver yako.
5. Kwenye remote bonyeza MENU > UPGRADE > USB/Card UPGRADE > UDSKA1 > chagua .BIN file > OK

m_20140101000511.jpg


6. Subiri ifike 100%, Ita_restart.

m_20140101000651.jpg


7. Ingia MENU > SETTINGS > XCAM SETUP> kwenye SPYCAM ingiza CODES nilizokupa.
m_20140101000856.jpg


UPATIKANAJI WA SPYCAM CODE
Bei: TSH 60'000/ 6m
Mawasiliano:
Skype: mw1rct
Whatsapp: +255 784 496 856
Call/Sms: 0717 54 57 62 & 0784 496 856

PIA TUMIA HAYO MAWASILIANO
:
Kupata msaada/ Ushauri kwa tatizo lolote kuhusiana na receiver yako
Kununua QSAT Q28G receiver
Kununua CCCAM account, IPTV account &
kujiunga na VIP internet
 
InStock This week End
  • AcamHD Codes: TSH 60'000
  • SpyCam Code: TSH 65'000
QSAT SOFTWARE - Alternative Download Link

File 1: Q23G
Download Link: http://v.ht/m1123


File 2: Q11G
Download Link: http://v.ht/m1111


File 3: Q13G
Download Link: http://v.ht/m1113

File 4: Q15G
Download Link: http://v.ht/m1115


File 5: Q11G+
Download link: http://v.ht/m1111p


File 6: Q13G+
Download Link: http://v.ht/m1113p


File 7: Q16+
Download Link: http://v.ht/m1116p

Contact: Mwl.RCT 0717 54 57 62

Hivi utaacha lini kuibia wananchi muogope mungu kijana.
 
Hivi utaacha lini kuibia wananchi muogope mungu kijana.
  • Je ni software ipi umeshidwa ku_download??
  • Je ni account code ipi unahitaji??
  • Kwa msaada zaidi call/sms: 0717 54 57 62
  • KARIBU NDUGU
 
SOFTWARE UPDATE


- Release date: Sept 14, 2015
- Download link: 1512_Q26G_SCB_ME_ALP-C_DSCAM_V7.0.14_20150914(2)
- Receiver husika ni: QSAT Q26G & QSAT Q28G


LENGO LA HII UPDATE


- Kuwezesha Q26G & Q28G kuweza kufungua TV channel zilizofungwa kwa PowerVu (zote kwa C-Band & KU)
- Pia sasa utaweza ku_load softCam key katika qsat yako.
- Je hufaha nini maana ya PowerVu - Click hii link: http://v.ht/rctpv
- Na je hufahamu nini maana ya SoftCam.key pls google hizi keyword: "softcam key" , "softCam editor"


KARIBU
bit.ly/MWLRCT

KWA WATUMIAJI WA AONE RECEIVER
- Download file hili: http://v.ht/7qew
- Baada ya update utaweza kufungua channel zilizofungwa kwa PowerVu

INSTOCK THIS WEEK
- AvatarCam Codes
- SPYCAM codes
- Canal 16e cccam accounts
Call/sms: 0717 54 57 62
 
Nakwangu imegoma inaniandikia no mach sftware msaada alie fanikiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom