Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

KWA WATUMIAJI WA SPEED HDs1

Sasa waweza ku_renew account ya receiver yako iliyo kwisha muda wake.

Utapewa account code inayofungua.
- Eutelsat 36e
- Intelsat 20 @68.5e
- Canalsat 22w

Bei ya account ni tsh 60'000/- kwa miezi sita (6)

Kabla ya kununua accont code kwanza fanyia update receiver yako.

Download sofyware kwenye hii link : http://bit.ly/1gS0wgk

Mawasiliano: 0717 54 57 62
 
Avatarcam naona wemekuja kwa kasi tena. Ila ss3 na ss5 tu ndio zimebaki tatizo tu
 
Avatarcam naona wemekuja kwa kasi tena. Ila ss3 na ss5 tu ndio zimebaki tatizo tu
  • Kwa sasa acamhd wako vizuli.
  • Stable, No freeze kwa TV channel zote zinazofunguka.
  • Soon wataziachia zote.
 
  • Kwa sasa acamhd wako vizuli.
  • Stable, No freeze kwa TV channel zote zinazofunguka.
  • Soon wataziachia zote.

Yaani leo hali ni mbaya afadhali na ya jana. Zinapatikana channel sita tu basi
 
Yaani leo hali ni mbaya afadhali na ya jana. Zinapatikana channel sita tu basi
wenzako wametega upande mwingine wanakula premium pakeji......wafuate kwenye magrupu yao wakumegee ujanja!
 
Mwalimu naomba nielekeze jinsi ya kubadili mwelekeo wa dish kuzipata channel za premium package.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom