Charles kikoti
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 461
- 121
TAHADHALI: Iwapo utanunua Diseqc switch ya njia nne HAKIKISHA unaikinga vyema kwa plastic/ nylon ili isinyeshewe ; na kuepuka short, sababu ziko sensitive sana
- Makutano mtaa/barabara ya Uhuru na Nyamwezi
- Duka la pili - kati ya maduka manne makubwa ya vifaa vya umeme/ or electronics
- Wanauza kati ya TSH 20'000 - 25'000
Nashukuru Mwl nafikili ndo maana nimekua naunguza mara kwa mara. Nilikua nafunga kwenye nguzo za dish zile nimesha unguza diseq nne mbaka sasa. Nataka hii ya njia nane ili niongeze LNB ninamadish mawili ft6 la azam 1 na zuku 1. Aksante