Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,706
- 22,588
- Thread starter
- #761
Hakuna TP zingine zitakazo kuwezesha kuona BeIN Sport 1 & 2 kwa sasa, kama ilivyokuwa awaliMwl.RCT
Nimekuelewa sana! Sasa kwani kwasasa hakuna TP zingine walizotoa ili kupata chaneli hizo za beIN na wenzake kwa mfumo uleule uliokuwepo?
Ili kupata BeIN Sport 1 - 15 , MBC Sport na channel zingine za michezo nunua IPTV Account ambayo utaweka kwenye decoder yako.
IPTV Account ni TSH 45'000 kwa mwaka mmoja
Kama una Dish kubwa na unataka FTA tumia hizi taarifa [ Kama upo Dar ]:
Satellite: 7W NILESAT 102 | NILESAT 201
Elevation: 36.4°
Azimuth (true): 276.5°
Azimuth (magn.): 278.8°
Transponder: 11938 V 27500
Channel List: MBC 1, MBC 2, MBC 3, MBC 4, MBC Action & MBC Max.
Pia utapata hizi Channel kama FTA : Althawra TV, MBC Pro Sports 1,MBC Pro Sports 2, MBC Pro Sports 3, MBC Pro Sports 4
KARIBU