Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,704
- 22,583
- Thread starter
- #741
Kwa watumiaji wa IPTV katika - QSAT, XMASTER, XMAN, SPEED HDS1 & Other supported Decoder
Rejea post#726 HAPA
Rejea post#726 HAPA
VIP INTERNET- FAQ1. Ni kiasi gani cha Data nitapata kwa mwezi?
Hakuna kikomo cha data utakachopata kwa mwezi, Uta download/Upload kwa kadri uwezavyo.
2. Je speed yake ikoje?
Utapat speed bila kikomo kuanzia siku ya kwanza ya matumizi na haito badilika.
3.Je naweza kujiunga tena baada ya mwezi kwisha?
Ndio utajiunga na VIP INTERNET kila mwezi.
4. Je ninaweza ku_download Torrents?
Ndio utaweza kudownload torrents za movies, series, software, games etl kwa kadri uwezavyo.
5. Je nitaweza kuangalia yuotube na kufanya streaming ya live Tv?
Ndio utawea kuangalia youtube na online TV bila tatizo.
6. Je ninajiunga vipi na VIP INTERNET?
Wasiliana nami ili kujiunga na VIP INTERNET
7. Je VPN Software gani inayotumika ili kupata VIP Internet?
HAKUNA vpn software yeyote utakayotumia.
8. Je ni nani hasa anapaswa kujiunga na VIP internet?
Wale wote walio kwenye database yangu, utanipa User ID yako kama uthibitisho.
9. Je unaswali lolote kuhusu VIP INTERNET tumia skype:mw1rct ; whatsapp: +255 784 496 856 AU tumia JF PM
NB:- Naomba tuzingatie kipengele no.#9