Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

mwlrct_com.png
 
Mkuu kwani kuna iliyo hewani? Maana najua hasifanyi kazi sasa

  • Kuna account za ZAP & CANALREUNION ziko hewani
  • Hiizi ni CCCAM
  • Miezi sita TSH 75'000 na Miezi Mitatu ni TSH 55'000
  • KARIBU
TUSIKARIRI AVATARCAM PEKEE
 
  • Kuna account za ZAP & CANALREUNION ziko hewani
  • Hiizi ni CCCAM
  • Miezi sita TSH 75'000 na Miezi Mitatu ni TSH 55'000
  • KARIBU
TUSIKARIRI AVATARCAM PEKEE

Hizo account naweza kuona ss1 mpaka ss9 ?
 
Kwahii kitu nimenyoosha mikono. Bora niukubali ukweli. Bora nikaunganisha ya cable. Nimekuwa mtumwa wa kusubiri account iwe active sasa nimechoka
 
Kwahii kitu nimenyoosha mikono. Bora niukubali ukweli. Bora nikaunganisha ya cable. Nimekuwa mtumwa wa kusubiri account iwe active sasa nimechoka

Mkuu,

Nahitaji kununua hizi vitu.. Je ni receiver ya aina gani niitumie ili isinipe shida..?
 
Wewe lolowapi hizi dekoda qsat ni nzuri maana zina patch ya BISS kwa ajili ya IRIB TV. Pia ds wanapigana na channel zao. Pia kitu kama we we hukitaki wenzako wanaona lulu huu ni mpito tu!
 
Kwahii kitu nimenyoosha mikono. Bora niukubali ukweli. Bora nikaunganisha ya cable. Nimekuwa mtumwa wa kusubiri account iwe active sasa nimechoka

Hawa jamaa walichobaki ni utapeli na kutoa account mpya kila siku wapate hela.ni zaidi ya wasanii mimi naumia kuona wanatapeli watu waziWaZi nimeapa nitadeal waziwazi na hawa matapeli.
 
Mkuu,

Nahitaji kununua hizi vitu.. Je ni receiver ya aina gani niitumie ili isinipe shida..?

Mkuu nakuomba usinunue hivi vidude ni majanga maana wapo kiutapeli zaidi ila wana kauli za kufariji.
 
Wewe lolowapi hizi dekoda qsat ni nzuri maana zina patch ya BISS kwa ajili ya IRIB TV. Pia ds wanapigana na channel zao. Pia kitu kama we we hukitaki wenzako wanaona lulu huu ni mpito tu!
Hakuna mpito mwaka wa pili mpito gani ,zamani ilifanya kazi ila kwa sasa umebaki utapeli tu.
 
Mkuu,

Nahitaji (1)kununua hizi vitu.. Je ni (2)receiver ya aina gani niitumie ili (3)isinipe shida..?
1. UNUNUZI
  • Hizi Receiver utafikishiwa mahala popote ulipo TZ, Pia kenya na Uganda waweza kutumiwa kwa njia ya Basi
  • Kama upo DSM utaelekezwa ilipo ofisi uje uchukue receiver yako.
  • Kama upo mkoani utatumiwa kwa ghalama ya TSH 10'000
  • Kwa kenya na Uganda utalipia TSH 20'000 ya kusafirishia
3. AINA GANI YA RECEIVER
  • Receiver zote ni IKS Receiver
    Code:
     http://en.wikipedia.org/wiki/Card_sharing
  • Labda swali liwe nitumie vigezo vipi kuchagua decorder kati ya nyingi zinazotangazwa?
VIGEZO VYA KUCHAGU
  • Chukua Receiver ambayo inakubali account protocal zaidi ya moja - Mfano wa account Protocoal ni IPTV, CCCAM, NEWCAM
  • Chagua Receiver ambayo ipo sokoni kwa miaka mingi - Receiver hizi huwa ziko na "Improved Hardware & Software" kutokana na uzoefu wa watengenezaji wa miaka mingi.
  • Receiver ambayo haitasumbua iwapo utaunga LNB zaidi ya moja
Labda hapa nikupe kazi ya kutafiti ni receiver ipi ni bora kwa hivyo vigezo. Then rudi kwangu nitakupa receiver ya chaguo lako

3. ISINIPE SHIDA
  • Katika utumiaji wa hizi Receiver shida ipo
  • Kuna factors nyingi ambazo hupelkekea shida/ matatizo katika ufanyaji kazi wa hizi decorder. Kupitia hii thread kuna mengi ya kujifunza. Endelea kufuatilia
  • Ili usipate shida kwa 100% nunua DST* set au ABUDHABI Set yenyewe.
Wapi Nitaweza kupata huduma kama hii.....?
coollogo_com_12951275.png
 
Je dicoda hizo naweza kutumia kwa dish la dstv bila kuonunua dish lingine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom