KARIM GWAJE'S
Member
- Jan 16, 2015
- 24
- 1
Wana jf ebu naomba kufahamishwa vizuri kuhusiana na hivyo vingamuzi ukinunua kuna malipo tena au
Wana jf ebu naomba kufahamishwa vizuri kuhusiana na hivyo vingamuzi ukinunua kuna malipo tena au
bei ya best hd king'amuzi shs ngapi?
Kuhusu TV1
Kuhusu A1star
- Soon itakuwa ok
- Taarifa ilitolewa mapema tangu January 15 '2015 kuhusu server minor maintanance kwa email.
- Soon itakuwa ok, nina mawasiliano ya karibu sana na server admin
Mawasiliano Simu/ Whatsapp# +255 784 496 856
- Nilimwomba awasiliane nami kabla ya saa mbili ya siku hiyo.
- Mpaka leo bado hajawasiliana nami, nurdi tafadhali thibitisha hili. Na bado ana account ya a1star
- Ni kawaida yangu mimi kama mtoa huduma kusikiliza tatizo la mtu niliyempa huduma
- KARIBU
- Nipe satus kwa sasa
- Kwa upande wa a1star vs tv1
- Naangalia SS7 kupitia a1star iko stable
Kwangu ilikata dak 81 Man city Vs Arsenal. A1star sikujua kama imerudi,Mwl Tujuze Tv1 na a1star zimerudi?
Kwa wanao hitaji a1star cccam pls call 0784 496 856
- Tv1 bado inashida, ila any time itakuwa on air
- Kwa sasa endelea kutumia a1star
- Karibu
Six month ni TSH 75'000 Tu
Inawezekana kuwa na account zaidi ya mbili? maana yangu ina AVTCAM na CCCAM,
kwa sasa hivi AVTCAM inaonyesha baadhi ya channel lakini CCCAM inagoma kabisa.