nurdi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 256
- 71
Team of engineers bado wanafanya kazi kuhakikisha server inarudi katika hali yake ya kawaida.
Ni kwa watumiaji wote wa a1star wamepatwa na hili tatizo.
Kwa sasa alternative ni tatu:
1. Tv1 cccam
2. Killer cccam &
3. NewCam ya azsky server
Kukiwa na update kuhusu a1star nitawajulisha kupitia thread hii.
Karibu na pole kwa usumbufu uliojitokeza.
Mawasiliano: 0784 496 856
Sasa Huoni unastahili kuturefund either hela au account mpya, kwani ni wewe ndie uliyetushauri tununue ikizingatia ilikuwa bei moja na TV1 account,nahisi unastahili kutuomba radhi kwa hili,kwani ss tunakujua wewe kama deal wao,isitoshe ulirecoment kwetu kuwa a1 iko stable kuliko TV1