Wasiliana na MM Mwanakijiji atakuwa hakikosi kwenye makabrasha yake.
Ha ha ha.Kweli Mwanakijiji ni hazina ya kila kitu.Wasiliana na MM Mwanakijiji atakuwa hakikosi kwenye makabrasha yake.
Mkuu ukipata nitumie na mimi, tukiweke scribd, kila mtu aweze kukisoma
Mwenzenu mmeniacha kidogo. Hiki kitabu kilikuwa kinahusu nini mpaka kipigwe marufuku? Hebu nisaidieni nipate angalau ufahamu kidogo.