Uongozi wetu na hatima ya Tanzania, tulikotoka, tuliko na tunakokwenda

Oct 13, 2016
19
24
Uongozi wetu na hatima ya Tanzania: tulikotoka, tuliko na tunakokwenda

Matukio baada ya uhuru.

1964- Jeshi (KAR) liliasi serikali na Mwl. JK nyerere alitoroshwa na baadae aliunda jeshi jipya kutoka tanu youth league (UVCCM) pia Mwl. Nyerere akaanzisha makamisaa wa siasa jeshini.

1964- Mwl. Nyerere aliwafukuza waingereza na wao waliondoa fedha zao zote za misaada na Mwl. JK alikubali tanganyika ibaki kuwa taifa huru.

1965 - Southern Rhodesia (Zimbabwe) katika harakati za kuwasaidia kupata uhuru (unilateral declaration of independence) UDI, tulivunja mahusiano na uingereza na tulinyimwa msaada wa fedha nyingi sana.

1966 Jeshi la kujenga taifa (JKT) lilianzishwa, mwaka huu 1966 hali ya kisiasa ilikuwa mbaya saana ndipo Mwl. JK nyerere 1967 aliamua kuanzisha azimio la Arusha.

1974 Tanu ilipitisha mpango wa ujenzi viwanda wa miaka 20 (basic industries strategy), viwanda vijengwe kila mkoa ili kupunguza idadi ya watu wanaokuja mjini.

Kipindi hiki hujuma zilianza kama unavyoona leo awamu ya tano ya mh rais Magufuli tumeanza kuhujumiwa na mabeberu.

Kuvunjika kwa jumuiya ya Afrika Mashariki

Vita vya Kagera

N.K

Tupo kwenye mapambano dhidi ya mabeberu hii vita ni kubwa kuliko ya silaha tunahitaji kuwa pamoja na rais wetu na tunahitaji kufanya yafuatayo;

1. Umoja wa kitaifa.
2. Uzalendo (tuache kuwa makahaba wa kisiasa)
3.Kujua na kujijua tunawajibu gani kwa taifa kwa kulinda na kutetea maslahi ya taifa.
4.Kujenga na kuhimiza siasa za maendeleo na madaraka kwa kufuta
*Misingi
*Msimano
*Itikadi
*Maadili.

Hujuma za waiba rasilimalizi zilianza enzi za Mwl. JK Nyerere tulikotoka.

Watakaogeuka nyuma watakuwa mawe na taifa hili litasonga mbele na mawakala wa mabeberu aibu itawapata.

[HASHTAG]#Viva[/HASHTAG] CCM
[HASHTAG]#TanzaniaMpyaCCMmpya[/HASHTAG]
[HASHTAG]#CCM[/HASHTAG] MpyaTanzaniaMpya
[HASHTAG]#VivaMagufuli[/HASHTAG]

Zuberi athumani
 
..yuko beberu aliuza nyumba za serikali alizotuachia uthiri baba wa taifa kwa bei ya kifisadi.

..beberu huyu pia alinunua kivuko mkweche akadai ni kipya. sasa kivuko hicho hakifanyi kazi.

..beberu huyu pia ameitia serikali hasara ya mabilioni ya fedha kwa maamuzi yake ya kukurupuka.
 
Back
Top Bottom