Uongozi wetu na hatima ya Tanzania by Mwl Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi wetu na hatima ya Tanzania by Mwl Nyerere

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngarenaro, Jun 21, 2012.

 1. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu heshima mbele.

  Nina shida na kitabu cha baba wa Taifa, Uongozi wetu na Hatima Ya Tanzania. Niliwahi kukiona hapa Jukwaani lakini nimekitafuta bila mafanikio, kwa yoyote ambaye anaweza kunipa Link, atakua amenisaida sana.

  Pia si vibaya mwenye Link ya Tujisahihishe akatuwekea hapa ili Tuweze kujifunza na kuchukua hatua katika Ujenzi wa Taifa letu.

  Mubarikiwe sana.
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,095
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280

  Kilishakuwa uploaded hapa JF tangu mwaka 2007, wewe search vizuri tu utakipata.
   
 3. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu nakumbuka lakini nimejitahidi sana kukitafuta bila mafanikio, kuna wakati walikua wamekiwekea STICK kwahiyo kilikua kinapatkana kwa urahisi, sasa hivi kukipata imekua shida, kama unaweza kunipa link utakua umenisaidia sana.

  Natanguliza shukrani zangu.
   
 4. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,923
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  .

  Mkuu
  .
  Mkuu Ngarenaro kama jinsi alivyosema Mkuu Kichuguu. ukitafuta vizuri utakipata ... ILA unaweza ku-download hapa

  Hiki hiki kitabu kipo sehemu mbili

  Kuna kimoja Original cha Mwl Nyerere na kingine nafikiri Mkuu aliki-edit kuendana na mazingira ya sasa .. nafikiri yeye alikiita Uongozi Wetu na Hatma ya Tanzania (Toleo ya Kizazi kipya)  Link za Ku-download hizi hapa


  1: Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania (1994) - Mwl Nyerere

  Download: http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/Kitabu-Uongozi_wetu_na_Hatma_ya_Tanzania-JK_Nyerere.pdf  2: Uongozi wetu na Hatma ya Tanzania - (Toleo la Kizazi Kipya)

  Download: http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/Kitabu-Uongozi_wetu_na_hatma_ya_Tanzania-Mwanakijiji.pdf


  [​IMG]
   
 5. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu DotWorld heshima kwako nimefanikiwa kukipata hiki kitabu kwa msaada wa Link uliyonipa, nakushukuru sana ndugu yangu.
   
 6. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,923
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Tuko pamoja Mkuu Ngarenaro nakutakia usomaji mwema!
   
 7. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,240
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Mimi ninacho yaani copy zote mbili Swahili na English. Nilikinunua pale TPH Bookshop, D'Salaam. Binafsi sikuwa nacho kwa miaka mingi kwani nilikipoteza wakati nahama kwa kaka yangu mwaka 1996.

  Madukani kikapotea kwa kipindi kirefu. Inawezekana walikuwa hawataki kionekane mitaani na wakakificha. Lakini mara kilipokuwa uploaded humu JF ndipo kikafunguka na madukani. Ni wazi kuwa kama kimeshawekwa Jamii Forum basi hakuna ujanja zaidi isipokuwa kuacha kisambae huko mitaani.
   
Loading...