Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,622
Dah, kaka najua upo kazini ila dah!Mteja atakayenunua kuanzia majeneza matatu atapewa nyongeza jeneza moja la mtoto bure kabisa.
Dah, kaka najua upo kazini ila dah!Mteja atakayenunua kuanzia majeneza matatu atapewa nyongeza jeneza moja la mtoto bure kabisa.
Thubutu.....Hata kama umepanga, mwenye nyumba ataanza kuhamaJeneza nj mbao tu..
Ila nunua liweke ndani uone kama atabaki mtu... Utabaki pk akoi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mteja atakayenunua kuanzia majeneza matatu atapewa nyongeza jeneza moja la mtoto bure kabisa.
Piga picha pembeni ya bidhaa unazouza sio unacopy picha mitandaoni.Mpendwa mteja napenda kuwajulisha kuwa sasa kuna punguzo maalum la msimu wa sikukuu,
Ni majeneza ya kisasa kabisa yenye ubora na muonekano wa kuvutia!
Kwa mteja aliyepo Dodoma atapata huduma ya kusafirishiwa mzigo mpaka mlangoni.
Pia tunatoa huduma ya kujenga na kukarabati makaburi kwa material za kisasa kabisa.!
Pia tunahitaji mawakala kutoka mikoa mingine ili kuweza kusambaza huduma zetu.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibuni sana kwa huduma nzuri na bei nafuu.
Nb: nimeshindwa kuweka no ya simu kwa kuepuka usumbufu
(kwa wale wazee wa kutukana) hivyo ndugu mteja uliye serious njoo pm nikupe mawasiliano yangu.
Samahani ikiwa kuna mtu nimemkwaza kwa namna moja ama nyingine (ieleweke kuwa hii ni huduma kama zilivyo huduma nyingine) karibuni sana.
Khaaaa.... [emoji47] [emoji47]Msenge wewe!
Kifo kipo tu mkuu, na hii ni biashara kama biashara zingine tuAisee ktk biashara naichukia Mambo gani Sasa unaombea wenzako wafe
Kwanini mkuu[emoji45] [emoji45]Huu sasa ni ujinga
Kwa comment hii.....bila Shaka unafanya utani!!!! Over..!!Mteja atakayenunua kuanzia majeneza matatu atapewa nyongeza jeneza moja la mtoto bure kabisa.
HahaahaaThubutu.....Hata kama umepanga, mwenye nyumba ataanza kuhama
Wahusika wa nini sasaNgoja wahusika waje mkuu
Kama vipi mngechoma moto kabisa..AlhamduliLlah Waislam yetu ni environmental friendly, moja linahudumia maelfu ya watu.
Hatuna upuuzi huu.
Haifai. Tutazalisha carbon monoxide. Hatari.Kama vipi mngechoma moto kabisa..