Sema hamna hela.Environmental friendly waaapiii!?AlhamduliLlah Waislam yetu ni environmental friendly, moja linahudumia maelfu ya watu.
Hatuna upuuzi huu.
Kuna maiti mwenye hela?Sema hamna hela.Environmental friendly waaapiii!?
Mkamkopee marehemu atalipa siku ya hukumuKuna maiti mwenye hela?
Tanzania hii unafikiri mwenye hela ni nani? Utachekwa.
Kumbe sababu kuu ya kutotumia majeneza ni issue za utunzaji wa mazingira?!?!AlhamduliLlah Waislam yetu ni environmental friendly, moja linahudumia maelfu ya watu.
Hatuna upuuzi huu.
Nani alikudanganya kuwa kutumia vitanda vya mbao ni kuharibu mazingira?Kumbe sababu kuu ya kutotumia majeneza ni issue za utunzaji wa mazingira?!?!
Sasa mbona mnalalia vitanda vya mbao,mnapikia kuni na mkaa?!?!
Maana yako ni hipi unapoandika mazishi yenu ni environmental friendly?!??!Nani alikudanganya kuwa kutumia vitanda vya mbao ni kuharibu mazingira?
Asiyejuwa maana haambiwi maana.Maana yako ni hipi unapoandika mazishi yenu ni environmental friendly?!??!
Ndo tatizo lako, una uwezo mkubwa wa kukimbia maswali kuliko uwezo wa kuyajibuAsiyejuwa maana haambiwi maana.
Tatizo lako si langu.Ndo tatizo lako, una uwezo mkubwa wa kukimbia maswali kuliko uwezo wa kuyajibu
Unaweza kununua na kuweka ndani Kama aseti tu siku ukipenda unaingia na kufanya zoezi as if umededi unajipiga na selfie za kutoshaMaelewano yapo mkuu we chagua kisha njoo pm kuna kila aina na bei zetu nafuu
Umeulizwa swali la kiprofesa umejibu kisaniisanii!Asiyejuwa maana haambiwi maana.
tumekuelewa ww MBWA.Mpendwa mteja napenda kuwajulisha kuwa sasa kuna punguzo maalum la msimu wa sikukuu,
Ni majeneza ya kisasa kabisa yenye ubora na muonekano wa kuvutia!
Kwa mteja aliyepo Dodoma atapata huduma ya kusafirishiwa mzigo mpaka mlangoni.
Pia tunatoa huduma ya kujenga na kukarabati makaburi kwa material za kisasa kabisa.!
Pia tunahitaji mawakala kutoka mikoa mingine ili kuweza kusambaza huduma zetu.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibuni sana kwa huduma nzuri na bei nafuu.
Nb: nimeshindwa kuweka no ya simu kwa kuepuka usumbufu
(kwa wale wazee wa kutukana) hivyo ndugu mteja uliye serious njoo pm nikupe mawasiliano yangu.
Samahani ikiwa kuna mtu nimemkwaza kwa namna moja ama nyingine (ieleweke kuwa hii ni huduma kama zilivyo huduma nyingine) karibuni sana.
Safi sana mkuu una mawazo mazuri sana tukipata watu waelewa kama wewe nchi yetu itafika mbali sana.Unaweza kununua na kuweka ndani Kama aseti tu siku ukipenda unaingia na kufanya zoezi as if umededi unajipiga na selfie za kutosha