We unadhani kwa hali ya kibiashara ilivyo sasa bila kujitangaza utatoboa?
Kama manabii wenyewe wanajitangaza kwenye radio na tv
AlhamduliLlah Waislam yetu ni environmental friendly, moja linahudumia maelfu ya watu.
Hatuna upuuzi huu.
Karibu mkuu uniunge hata moja kaka tumetoka mbali sana!
Utalipia kidogo kidogo
Mungu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alishatangulia kuomba radhi lakiniMsenge wewe!
Nakuombea sana kwa uthubutu huu... Hata tukikiogopa kifo bado tutakufa tuu... Shida ni kwamba siku biashara ikiwa nzuri.... Tafsiri yake imejaa ukakasi.. But we need money anywayMpendwa mteja napenda kuwajulisha kuwa sasa kuna punguzo maalum la msimu wa sikukuu,
Ni majeneza ya kisasa kabisa yenye ubora na muonekano wa kuvutia!
Kwa mteja aliyepo Dodoma atapata huduma ya kusafirishiwa mzigo mpaka mlangoni.
Pia tunatoa huduma ya kujenga na kukarabati makaburi kwa material za kisasa kabisa.!
Pia tunahitaji mawakala kutoka mikoa mingine ili kuweza kusambaza huduma zetu.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibuni sana kwa huduma nzuri na bei nafuu.
Nb: nimeshindwa kuweka no ya simu kwa kuepuka usumbufu
(kwa wale wazee wa kutukana) hivyo ndugu mteja uliye serious njoo pm nikupe mawasiliano yangu.
Samahani ikiwa kuna mtu nimemkwaza kwa namna moja ama nyingine (ieleweke kuwa hii ni huduma kama zilivyo huduma nyingine) karibuni sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hio Biashara ikifanywa na Mme wa Nurse, na wife akiamua kumpa sapoti mumewe....
Napita tu, ila hizi habari hazivutiii kabisa kama uchi wa mtoto
Jeneza ni jukumu langu marehemu?
Mkuu wewe ni marehem?