Shikamoo bibi.AlhamduliLlah Waislam yetu ni environmental friendly, moja linahudumia maelfu ya watu.
Hatuna upuuzi huu.
[emoji1][emoji1] bora utoe sanda...sa huyo mtoto utamuua au?Mteja atakayenunua kuanzia majeneza matatu atapewa nyongeza jeneza moja la mtoto bure kabisa.
😂😂😂😂😂😂😂Msenge wewe!
weka bei hapa za awali na za punguzoMaelewano yapo mkuu we chagua kisha njoo pm kuna kila aina na bei zetu nafuu
Hilo jeusi bei gani?Mpendwa mteja napenda kuwajulisha kuwa sasa kuna punguzo maalum la msimu wa sikukuu,
Ni majeneza ya kisasa kabisa yenye ubora na muonekano wa kuvutia!
Kwa mteja aliyepo Dodoma atapata huduma ya kusafirishiwa mzigo mpaka mlangoni.
Pia tunatoa huduma ya kujenga na kukarabati makaburi kwa material za kisasa kabisa.!
Pia tunahitaji mawakala kutoka mikoa mingine ili kuweza kusambaza huduma zetu.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibuni sana kwa huduma nzuri na bei nafuu.
Nb: nimeshindwa kuweka no ya simu kwa kuepuka usumbufu
(kwa wale wazee wa kutukana) hivyo ndugu mteja uliye serious njoo pm nikupe mawasiliano yangu.
Samahani ikiwa kuna mtu nimemkwaza kwa namna moja ama nyingine (ieleweke kuwa hii ni huduma kama zilivyo huduma nyingine) karibuni sana.
Wewe lako ni lipi kati ya hayo?Mpendwa mteja napenda kuwajulisha kuwa sasa kuna punguzo maalum la msimu wa sikukuu,
Ni majeneza ya kisasa kabisa yenye ubora na muonekano wa kuvutia!
Kwa mteja aliyepo Dodoma atapata huduma ya kusafirishiwa mzigo mpaka mlangoni.
Pia tunatoa huduma ya kujenga na kukarabati makaburi kwa material za kisasa kabisa.!
Pia tunahitaji mawakala kutoka mikoa mingine ili kuweza kusambaza huduma zetu.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibuni sana kwa huduma nzuri na bei nafuu.
Nb: nimeshindwa kuweka no ya simu kwa kuepuka usumbufu
(kwa wale wazee wa kutukana) hivyo ndugu mteja uliye serious njoo pm nikupe mawasiliano yangu.
Samahani ikiwa kuna mtu nimemkwaza kwa namna moja ama nyingine (ieleweke kuwa hii ni huduma kama zilivyo huduma nyingine) karibuni sana.
Bei ya jumla ni ngapi?
Umeniwakilisha vyema mkuuNgoja wahusika waje mkuu
Bibi umeamkaje huko.?AlhamduliLlah Waislam yetu ni environmental friendly, moja linahudumia maelfu ya watu.
Hatuna upuuzi huu.
Mkuu tafadhari bana,Ujinga gani wakati siku ukifa ndugu zako wataenda kununua jeneza la hovyo tena watauziwa bei kubwa (kama yale majeneza waliozikia watu Mwanza)
Badala ununue mapema uweke akiba ukifa wasihangaike
Kumbe wachokozi tuko wengi humu,Shikamoo bibi.