Jioni yangu imekua mbaya ghafla😩😩😩😩😩

Jioni yangu imekua mbaya ghafla😩😩😩😩😩

Mgongee jirani kwa leo.....
Inategemeana na jirani ndugu.Iliwai nitokea enzi izo tumepanga apartment watu wawili Tu.Ile nachomeka Tu blender kil kinachoingia kwenye switch kikakatika.Kwenda kwa jirani.Unajua alichonijibu.Blender ni kitu expensive hawezi niazima ikiharibika siwezi mlipa.Ilibidi nikamwage huo mchanganyiko.
 
Ukute hapo unamuhadithia mtu ambaye matunda kwake ni anasa, blender anaiona kwenye TV na juice alikunywa mwisho kwenye harusi aliyo gate crush, bila kusahau umeme tangia luku imekwisha sasa hivi ni mwezi...

Putting things in perspective there is always someone worse off, you just have to take the rough with the smooth
 
Back
Top Bottom