Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Ha haa kwahiyo ngoma drow sioAta c tunahangaika sana kuwaridhisha ila hamridhiki wanawake wa kizazi iki
Ha haa kwahiyo ngoma drow sioAta c tunahangaika sana kuwaridhisha ila hamridhiki wanawake wa kizazi iki
Mbinu mpya za kuwanogesha zinatoka kila siku. Kazaneni kutafuta hela tuDuuh, kumbe pia wanaweka???? Sasa hii ni habari mbaya kwa wazamiaji chumvini
Wala sijaribuIkoje hiyo baby,mbona mie hujaniwekea huko chini?
Zaidi ya pakaMnaroho ngumu sana nyinyi
Ngoja ufunge ndoa and umkute ana kibamia hata hakiwezi koa bikra.... Utanitafuta tu si ulikuwa hutaki...Mi mpaka sasa bikra, sijaguswa na mwanaume yoyote. Mpaka nifunge ndoa. Hila tayari ninamchumba wangu nampenda kweli tumekubaliana sote mpaka tufuge ndoa ndio tuanze kuchovyana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi mpaka sasa bikra, sijaguswa na mwanaume yoyote. Mpaka nifunge ndoa. Hila tayari ninamchumba wangu nampenda kweli tumekubaliana sote mpaka tufuge ndoa ndio tuanze kuchovyana.
Kuharibu afya zao kwajili ya kuwafurahisha nyie
Si umesema itanifanya nisiisahau kamwe.Wala sijaribu
Wapo bwana... Ila si lazima wajitangaze. Mtu anakuta tu suprise akioaKumbe???
Unataka sema mabikra wote ni outdated? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kawadanganye malofa wenzako, hakuna bikra JF,facebook,instragram,whatsaap wala twitter.
Wajaluo wanasema ng'ato gi ng'atoHa haa kwahiyo ngoma drow sio
We mjaluo?Wajaluo wanasema ng'ato gi ng'ato
Hapana ila icho kimsemo nakijuaWe mjaluo?
Hatari saana!Mzee ipo kitu inaitwa shabu, usiombe ukutane nayo. Utaona kitu kipyaa hakijaguswa, kumbe mdananda! Mwagia vimaji usikie balaa lake.
Sijawahi kuona,,labda utuwekee picHaujawahi kuona?????