Jionee mbinu za wanawake za kukuingiza kingi

Jionee mbinu za wanawake za kukuingiza kingi

Mi mpaka sasa bikra, sijaguswa na mwanaume yoyote. Mpaka nifunge ndoa. Hila tayari ninamchumba wangu nampenda kweli tumekubaliana sote mpaka tufuge ndoa ndio tuanze kuchovyana.
Kawadanganye malofa wenzako, hakuna bikra JF,facebook,instragram,whatsaap wala twitter.
 
Hahahahahahahahahaaaaaaaaa tehtehtehtehteh..umenichekesha sana. Il sio kweli.. bikira haifojiw labla kama sio mzoefuefu na hayo mambo
Mmh, Inamaana wewe mzoefu kuliko sisi???
 
Mi mpaka sasa bikra, sijaguswa na mwanaume yoyote. Mpaka nifunge ndoa. Hila tayari ninamchumba wangu nampenda kweli tumekubaliana sote mpaka tufuge ndoa ndio tuanze kuchovyana.
hakuna mwanaume anayeuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Back
Top Bottom