Jionee mbinu za wanawake za kukuingiza kingi

Jionee mbinu za wanawake za kukuingiza kingi

Magufuli afike na huku atumbue Bikra feki....


Ni hivi ndoa sio BIKRA
 
Bikira n adimu hazipo tuuuuu yaani n hakuna kabisa kabisa hakuna hakuna papuchi sild hakuna kabisa
 
Shabu ile ya kusafisha maji
Nilikuwa najua water guard ndio husafisha maji, kuna mtu hapa kaniambia kuwa hiyo mi dawa ya kienyeji ya kusafishia maji pia hutumika kurudisha virginity. Now I know.
 
Nilikuwa najua water guard ndio husafisha maji, kuna mtu hapa kaniambia kuwa hiyo mi dawa ya kienyeji ya kusafishia maji pia hutumika kurudisha virginity. Now I know.
Unataka kujaribu au
 
Nawatumia Sample ya Bikra Fake Kit
1470505696961.jpg
eti upo una 28 yrs bikra haha kawadangaye hao hao
 
Ubikira sometime unaweza kuwepo kwa mwanamke ambaye amegegedwa na vibamia halafu sisi wenye nchi 10 tukikutana naye tunaona kama bikira tu tunagegeda analia muda wote na anataka kuuchomoa ila hawezi maana ujanja anakuwa hana kwa hiyo unaona n bikra tu
 
Kweli mwanamke asie na akili sehemu zake za siri ndo huumia zaidi
 
Wanaume, kuweni makini na bikra feki wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi, ndoa imekuwa mtihani kwao, wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi. Ukiacha hawa wengine ambao wameamua kuwa washirikina kwa kwenda kwa waganga na kupewa dawa za kukukamata, kuna hawa wanawake ambao wametumika kama Bajaj, wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela, utapigwa tukio mpaka ushangae.

Atajifanya descent na hajui kitu, atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu. Siku ya kufanya mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia, ukishika nywele analia ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa, ukianza kuzama ndo kabisa, unaweza kudhani uko kwenye msiba wa Kinyakyusa utasikia taratibu, utafinywa, utapushiwa kama vile ndo unaitoa, kumbe wala.

Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia ndimu, mchanganyiko wa parachichi na tikiti maji, kitunguu swaumu, sabuni ya kaisiki na vim ya kuondolea harufu chooni. Ukigusa unahisi bikira kumbe wala, umetegwa. Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua. Dawa yao unakaa na beseni, akizuga unamwagia maji pale juu, litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai.

JIHADHARI na hizi bikira za makuti.

Hivi wew jamaa hizi akili huwa unazitoa wapi?? Dah hatari sana
 
Bado sijaona huwa mwanamume wa kunisumbua na kutaka nijiue kwa ajili yake, yote haya kisa nini vile? Babe please am rich and am loaded than many men, so Bado sijapata sababu ya kusumbuka hivi loo
 
Bado sijaona huwa mwanamume wa kunisumbua na kutaka nijiue kwa ajili yake, yote haya kisa nini vile? Babe please am rich and am loaded than many men, so Bado sijapata sababu ya kusumbuka hivi loo
Hayajakufika bado
 
Mi mpaka sasa bikra, sijaguswa na mwanaume yoyote. Mpaka nifunge ndoa. Hila tayari ninamchumba wangu nampenda kweli tumekubaliana sote mpaka tufuge ndoa ndio tuanze kuchovyana.
Dah, we ni muongo, wakati jana tu ulikuwa unaliwa uroda, ulokole kazi..
 
Duh! Hadi VIM aisee wanashida sana ndugu zetu.
 
Back
Top Bottom