Jionee mbinu za wanawake za kukuingiza kingi

Jionee mbinu za wanawake za kukuingiza kingi

Wanaume, kuweni makini na bikra feki wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi, ndoa imekuwa mtihani kwao, wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi. Ukiacha hawa wengine ambao wameamua kuwa washirikina kwa kwenda kwa waganga na kupewa dawa za kukukamata, kuna hawa wanawake ambao wametumika kama Bajaj, wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela, utapigwa tukio mpaka ushangae.

Atajifanya descent na hajui kitu, atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu. Siku ya kufanya mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia, ukishika nywele analia ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa, ukianza kuzama ndo kabisa, unaweza kudhani uko kwenye msiba wa Kinyakyusa utasikia taratibu, utafinywa, utapushiwa kama vile ndo unaitoa, kumbe wala.

Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia ndimu, mchanganyiko wa parachichi na tikiti maji, kitunguu swaumu, sabuni ya kaisiki na vim ya kuondolea harufu chooni. Ukigusa unahisi bikira kumbe wala, umetegwa. Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua. Dawa yao unakaa na beseni, akizuga unamwagia maji pale juu, litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai.

JIHADHARI na hizi bikira za makuti.
How old are you, boy?
 
Hao ndio wanawake, hawataisha kutufanyia visa. Tuishi nao kwa akili tu
 
Endeleeni tu uzeeni hiyo K itasinyaaa ifike hadi magotini kama sikio la kimasai lililotobolewa na kuvutwa!!!
 
Ila yote haya mnayataka wenyewe... Wanaume mlishajiwekea aina ya wanawake mnaowataka... Ndo mana mnadanganywa sana. Msichana akiwa muwazi na mkweli mnamfanya ajione malaya. Mtu yeyote hasiyenithamini kwa mimi kama mimi na kuanza kunihukumu kwa niliyoyafanya basi achape mwendo... Ila wengine hawana moyo huu ndo mana wanatumia kila njia kuwadanganya.
My dear,tuko sawa.
Huwa niko real...ukinipenda nipende,usipoweza chapa lapa.
Siwezi kufake ili nipendwe.
 
Mi mpaka sasa bikra, sijaguswa na mwanaume yoyote. Mpaka nifunge ndoa. Hila tayari ninamchumba wangu nampenda kweli tumekubaliana sote mpaka tufuge ndoa ndio tuanze kuchovyana.
Sema Hakiamungu..!!!!
 
Back
Top Bottom