Jinsi ya kutumia mfumo wa utumishi Ess na PEPMIS

Forum kama hizi zimekuwa productive sana, naamini si watumishi wote waliopata/watakaopata mafunzo hivyo kama wewe ni sehemu ya walioelimishwa kuhusu huu mfumo maliza kabisa na kuonyesha hizo "task na sub task" za "category" ya watumishi uliyoileñga (Walimu)

Hongera sana kwa haya maelekezo
Done nimeongeza
 
kuna watu wakisikia neno Mwalimu basi wanajikuta wamepata sehemu ya kupumulia
 
Hilo nilisikia kwa jamaa yangu mmoja anayehitaji uhamisho sana akiogopa mfumo ila yeye mwenyewe baso hajaanza kutumia huu mfumo
Mkuu si kirahisi hivyo!Mfumo Bado hausomani.Unaweza omba Transfer alafu Supervisor hakuoni mnabaki mnaangaika na yeye ana role ya kukuhamisha tayari kwenye Uhamisho naona Bado hauko sawa labda huko Pepmis nako majina yanaingia na kutoka inategemea na mtandao.Pia suala la Uhamisho Kuna halmashauri Bado wanahitaji barua ukishapitishiwa na mwajiri unaitachi kwenye Mfumo pamoja na doc zingine.Kwa ufupi suala la mifumo lingeenda taratibu maana Mfumo ni kama umeelemewa hivi mara hupatikane au haupatikani unaweza shinda kutwa mzima kisa Mfumo.
 
Mfumo unachangamoto sana,wangeanza na vitu vichache kwanza,wao wanalazimisha vyote viende kwa pamoja,kiufupi wanefeli kabla ya kuanza.
 
Habari
Msaada wa kusaidiwa kwani inaniandikia ujumbe ''Exception occured while registerring new user. Please try again later''
 
Habari
Msaada wa kusaidiwa kwani inaniandikia ujumbe ''Exception occured while registerring new user. Please try again later''
Relax Ni shida ya mtandao tu badae itakubali!
Hapa mwanzo kuna changamoto nyingi but as days goes inakaa sawa

cc Smart911
 
i. Annual Institutional performance planning

ii. Implementation and Monitoring

iii. Annual Institutional performance plan update

iv. Employee performance Assessment

v. Employee performance Assessment Referral and Appeal

vi. Report

B.NAMNA YA KUWEKA/KUANDIKA/KUJAZA TASK NA SUBTASK

i. Bofya kipengele Cha kwanza Cha PEPMIS
Mkuu ukibofya kipengele cha kwanza (i) unapata tasks and subtasks. Na pia ukibofya kipengele cha tatu (iii) unapata tasks and subtasks. Lakini wewe unasema tutumie kipengele cha kwanza (i). Je, hiki kipengele cha tatu (iii) ni cha kazi gani? Vipi kama nikichagua kipengele hicho na kujaza tasks na subtasks nini kitatokea? Nitakuwa sahihi au nitakuwa nimechemka?
 
Taratibu kila kitu kitakaa sawa tu,mara nyingi mifumo inapoanzishwa huwa inasumbua...
 
Back
Top Bottom