Jinsi ya kutongoza hapa Jamiiforums

Jinsi ya kutongoza hapa Jamiiforums

Vijana wengi hapa jamiiforums wanashindwa kupata wanawake mpaka inafika hatua watu wanaanzisha thread ikihoji ''hivi kuna mtu ameshawahi pata demu jf?'' ukweli ni kwamba hapa JF kuna mbunye nyingi sana ila tatizo vijana wengi hawajui jinsi ya kupata, Ungana nami MCHUNGUZI HURU katika uchunguzi wangu nilioufanya kipindi cha karibuni....

KOSA KUBWA LINALOFANYWA NA WATONGOZAJI NI:
Kwenda PM moja kwa moja na kuanza kuuliza taarifa personal. Uchunguzi wangu umebaini ya kuwa wanawake wengi waliofatwa PM moja kwa moja wamekuwa wachoyo wa taarifa, wanakosa imani kwa muombaji wa taarifa, hivyo wanahitaji mazoea kwanza kabla ya kuombana taarifa. Nani asiyejua kuwa kufahamiana pamoja na kuchukua namba ya simu ni moja ya hatua kubwa ya kutongozana?? Ukienda PM moja kwa moja hupewi taarifa yoyote ile wala namba za simu kudadeki zako.

UFANYE NINI:?
Ndugu watongozaji, uchunguzi wangu umebaini kuwa wengi wanaogegedana hapa jamiiforums walianza kwa kutengeneza mazoea pamoja na utani wa hapa na pale kabla hawajaenda PM. Huwa wanatengeza vipi mazoea? Ndugu watongozaji, mazoea yanatengezwa kwa:
1. kuhakikisha una-comment kila thread atakayotoa huyo unaye mmendea
2. kuhakikisha una-like post zake popote pale utakapoziona
3. kuhakikisha unam-mention katika thread au post utakayovutiwa nayo
4. ukiona post yake MMU, unamtania.

tEknIKI zao utasikia: Mamndenyi njoo huku au miss chagga unapigwa majungu huku au mpenzi wangu masai dada mbona upo kimya sana au kigori wa kilwa mchepuko wangu pitia hapa usome......... Ukiona hivyo ujue ni wale ndugu watongozaji wajanja wanajitengenezea mazingira

Kwa kufanya hivyo utakuta nae siku nyingine anaku-mention katika thread mbalimbali ujue mazoea yameshanoga, hapo ukienda PM hausumbuliwi, hata kukunyima namba yake ya simu atakuonea aibu lakini ukienda kichwa kichwa mbunye za JF utazisikia tu redioni.
MCHUNGUZI HURU

Mamndenyi unatajwa tajwa huku! Kulikoni mpenzi? Ha ha ha haaaa! MCHUNGUZI HURU usije kusema Nami niko mawindoni kwa Mamndenyi!

Kwa hiyo mkuu unamaanisha nisingekata tamaa kwa Evelyn Salt ningekagalagaza?
 
kuna wame na wake za watu humu imekaaje hii mana unaweza mmendea ukashoboka kummention n.k kila kukicha ukazua bifu bila kujua...ukashangaa matusi, na mengineyo mengi tu si unajua mtu chake yakhee mchunguzi huru ebu dadafua...
 
kuna wame na wake za watu humu imekaaje hii mana unaweza mmendea ukashoboka kummention n.k kila kukicha ukazua bifu bila kujua...ukashangaa matusi, na mengineyo mengi tu si unajua mtu chake yakhee mchunguzi huru ebu dadafua...

Mwambiee
 
aaaah! nimewahiwa ama??? nlikua PM nakungoja
 
Hivi kumbe hapa kuna mbun... Nini sijui nyingi sana

I thought hapa ni mahali pa kupeana ushauri kumbe kuna watu wanatoa?

Mchunguzi hebu niambie,akina nani wanagawa?

Mkuu ulikuwa hujui? Ulikuwa wapi kuna uzi flani watu walikuwa wanapeana makavu laivu waliambiwa "wanaliwa" hapa JF na watu tofauti tofauti, ikawa mtiti mkali.
 
Mkuu ulikuwa hujui? Ulikuwa wapi kuna uzi flani watu walikuwa wanapeana makavu laivu waliambiwa "wanaliwa" hapa JF na watu tofauti tofauti, ikawa mtiti mkali.

Sijui kabisa mkuu .....!!
 
hahahah hii nayo Kali lol ! :hurt: sijafanya makosa kuchungulia huku ..........haya Kila la kheri Watongozaji na Watongozwaji !
 
Huuhuuh! kama kweli vileee..nakumbuka niliingia anga za MankaM nikala za usooo nikauchuna, heee mara nikamvamia miss chagga nikala za chembe...sasa sijui nimchomekee lala1?
 
Kha! kumbe mm sikuwa nafahamu, embu ngoja nimuite The Boss Njoo huku mchepuko wangu, kama Ukichelewa basi aje Wileyeye naye akichelewa aje Tetra, maana nimewamiss sana hawa watu.
 
Mmmh! Hapa napo inabidi niwaachie ndugu watongozaji tu. Na kwa mwezi huu ulionza jana sijui wanajisikiaje kujadili mada kama hizi.
 
kweli jf imeingiliwa sasa huyu tu ni mtabiri huru ngoja waje WATABIRI , WABASHIRI na Wa TAFiti kazi kwetu kushangaa na kuona vituko ndani ya mjengo
 
Last edited by a moderator:
Cc. MCHUMBA,MISSCHAGGA,MUNKARI,NANI NANI WALE MA HEAVEN WOOTE,HEAVEN LIGHT ,HEAVEN BLABLA,LARA1,RAPUNZEL,VALENTINA,FLORA MSOFE,HEAVEN ON EARTH,STABLE WOMAN
 
Back
Top Bottom