Jinsi ya kutongoza hapa Jamiiforums

Jinsi ya kutongoza hapa Jamiiforums

Mtoa mada amelikisha desa na desa lenyewe feki yaani kwa kifupi ameshawapoteza tusibiri matokeo makubwa sasa.
 
 
Last edited by a moderator:
faiza Fox njoo u-rILaKsi kidogo huku, Lol!
 
Last edited by a moderator:
My hezbend Joe Nyandigira hivi hii mashine yako ina siku haijapata chakula yake. Plz do ze nidful...

AR-CYMA-P1072.jpg

Hahahaa... nlikua sina nia ya kucoment ila nilipo liona jibu hli kwa bro aliyekua na ndoto za kukutongoza nimecheka sana
JF inanipa kuianza siku kwa furaha aisee...
 
Last edited by a moderator:
Umechelewa mno mama bhoke wangu kwani ulikuwa wapi?
Amang'ana bhabha bhoke!!! nilikua nakusubiri PM jamani kumbe ulikua huku ayayayaaaaa!!!!usije ukaniphigha bhanga nilikua PM tu hapo haata sikua mchepukoni.
 
Angekuwa mme wako husingekuwa unamwita kama mtu mbali acha kunichora jamani nakupenda, si unajua tena watoto wa Kikurya na Kijita tulishatoa mahari? Njoo Charminglady uone wapi penzi limelala, hutajutia uamzi wako
That is my sugar coconut.... So mwaaaaaah!!!!!
 
Eti Munkari, njoo nifafanulie,huku jf kuna kutongozana?? Mi mbona ndo.kwanza naskia leo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom