Jinsi ya kutongoza hapa Jamiiforums

Jinsi ya kutongoza hapa Jamiiforums

Mchunguzi huru, kuna watu wanavipaji vya kucomment sasa tunapowataja isije jengeka dhana kuwa tunapowataja tunaelekea huko. Mfano Mimi Mara nyingi najikuta nacheka peke yangu nikisoma comments za Evelyn Salt. Lakini mie nimeokoka na nampenda mtume
 
aisee.. kwahiyo nae akusubiri PM?
 
Acha kuamsha waliolala mkuu watastuka sasa@mchunguzi huru
 
Haya mambo ya kutongoza mitandaoni siku ya siku unawezakujikuta unamtongoza dada yako bila kujua!!
 
Vijana wengi hapa jamiiforums wanashindwa kupata wanawake mpaka inafika hatua watu wanaanzisha thread ikihoji ''hivi kuna mtu ameshawahi pata demu jf?'' ukweli ni kwamba hapa JF kuna mbunye nyingi sana ila tatizo vijana wengi hawajui jinsi ya kupata, Ungana nami MCHUNGUZI HURU katika uchunguzi wangu nilioufanya kipindi cha karibuni....

KOSA KUBWA LINALOFANYWA NA WATONGOZAJI NI:
Kwenda PM moja kwa moja na kuanza kuuliza taarifa personal. Uchunguzi wangu umebaini ya kuwa wanawake wengi waliofatwa PM moja kwa moja wamekuwa wachoyo wa taarifa, wanakosa imani kwa muombaji wa taarifa, hivyo wanahitaji mazoea kwanza kabla ya kuombana taarifa. Nani asiyejua kuwa kufahamiana pamoja na kuchukua namba ya simu ni moja ya hatua kubwa ya kutongozana?? Ukienda PM moja kwa moja hupewi taarifa yoyote ile wala namba za simu kudadeki zako.

UFANYE NINI:?
Ndugu watongozaji, uchunguzi wangu umebaini kuwa wengi wanaogegedana hapa jamiiforums walianza kwa kutengeneza mazoea pamoja na utani wa hapa na pale kabla hawajaenda PM. Huwa wanatengeza vipi mazoea? Ndugu watongozaji, mazoea yanatengezwa kwa:
1. kuhakikisha una-comment kila thread atakayotoa huyo unaye mmendea
2. kuhakikisha una-like post zake popote pale utakapoziona
3. kuhakikisha unam-mention katika thread au post utakayovutiwa nayo
4. ukiona post yake MMU, unamtania.

tEknIKI zao utasikia: Mamndenyi njoo huku au miss chagga unapigwa majungu huku au mpenzi wangu masai dada mbona upo kimya sana au kigori wa kilwa mchepuko wangu pitia hapa usome......... Ukiona hivyo ujue ni wale ndugu watongozaji wajanja wanajitengenezea mazingira

Kwa kufanya hivyo utakuta nae siku nyingine anaku-mention katika thread mbalimbali ujue mazoea yameshanoga, hapo ukienda PM hausumbuliwi, hata kukunyima namba yake ya simu atakuonea aibu lakini ukienda kichwa kichwa mbunye za JF utazisikia tu redioni.
MCHUNGUZI HURU

Ushatongoza wanne hapo, Mamndenyi , miss chagga , masai dada na kigori wa kilwa
 
Haya mambo ya kutongoza mitandaoni siku ya siku unawezakujikuta unamtongoza dada yako bila kujua!!

sio dada ako tuu hata jini kwani yamesha tokea kwa rafiki yangu.
niulize ukitaka kisa kamili.
 
Vijana wengi hapa jamiiforums wanashindwa kupata wanawake mpaka inafika hatua watu wanaanzisha thread ikihoji ''hivi kuna mtu ameshawahi pata demu jf?'' ukweli ni kwamba hapa JF kuna mbunye nyingi sana ila tatizo vijana wengi hawajui jinsi ya kupata, Ungana nami MCHUNGUZI HURU katika uchunguzi wangu nilioufanya kipindi cha karibuni....

KOSA KUBWA LINALOFANYWA NA WATONGOZAJI NI:
Kwenda PM moja kwa moja na kuanza kuuliza taarifa personal. Uchunguzi wangu umebaini ya kuwa wanawake wengi waliofatwa PM moja kwa moja wamekuwa wachoyo wa taarifa, wanakosa imani kwa muombaji wa taarifa, hivyo wanahitaji mazoea kwanza kabla ya kuombana taarifa. Nani asiyejua kuwa kufahamiana pamoja na kuchukua namba ya simu ni moja ya hatua kubwa ya kutongozana?? Ukienda PM moja kwa moja hupewi taarifa yoyote ile wala namba za simu kudadeki zako.

UFANYE NINI:?
Ndugu watongozaji, uchunguzi wangu umebaini kuwa wengi wanaogegedana hapa jamiiforums walianza kwa kutengeneza mazoea pamoja na utani wa hapa na pale kabla hawajaenda PM. Huwa wanatengeza vipi mazoea? Ndugu watongozaji, mazoea yanatengezwa kwa:
1. kuhakikisha una-comment kila thread atakayotoa huyo unaye mmendea
2. kuhakikisha una-like post zake popote pale utakapoziona
3. kuhakikisha unam-mention katika thread au post utakayovutiwa nayo
4. ukiona post yake MMU, unamtania.

tEknIKI zao utasikia: Mamndenyi njoo huku au miss chagga unapigwa majungu huku au mpenzi wangu masai dada mbona upo kimya sana au kigori wa kilwa mchepuko wangu pitia hapa usome......... Ukiona hivyo ujue ni wale ndugu watongozaji wajanja wanajitengenezea mazingira

Kwa kufanya hivyo utakuta nae siku nyingine anaku-mention katika thread mbalimbali ujue mazoea yameshanoga, hapo ukienda PM hausumbuliwi, hata kukunyima namba yake ya simu atakuonea aibu lakini ukienda kichwa kichwa mbunye za JF utazisikia tu redioni.
MCHUNGUZI HURU

Kama sijakosea, hapa "MCHUNGUZI HURU" naye yupo mawindoni!!! Hongera bro, upo very "smart"
 
Last edited by a moderator:

Kama hivyo ndivyo miye siwezi.
 
Back
Top Bottom