palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
mbona huu uzi unakwenda kwa mwendokasi mtoroko kiasi hiki?
Hivi kumbe hapa kuna mbun... Nini sijui nyingi sana
I thought hapa ni mahali pa kupeana ushauri kumbe kuna watu wanatoa?
Mchunguzi hebu niambie,akina nani wanagawa?
Hahahaha. Kumbe kutongoza kunahitaji msuli?!
Hahahahaaaa, hivi FirstLady1 yuko wapi siku hizi manake simuoni kabisa. Kapotea kama Mariaroza alivyopotea baada ya kumpata KakaKiiza. Ila juzi ni kama nilikutana na Passion Lady akiwa na Rejao nikaamua kuwachunia tu na walikuwa wanachomwa jua kwa vile walikuwa wanatembea kwa mguu.
Of course niliwachunia kwa vile nilikuwa nimempa lift miss chagga na sikutaka usumbufu wa mtu wa tatu.
Hahahaaaaaa, JF huwa inanipa raha sana. Hebu we Dinazarde njoo usome uchunguzi wa MCHUNGUZI HURU hapa!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app

kuna wame na wake za watu humu imekaaje hii mana unaweza mmendea ukashoboka kummention n.k kila kukicha ukazua bifu bila kujua...ukashangaa matusi, na mengineyo mengi tu si unajua mtu chake yakhee mchunguzi huru ebu dadafua...
Hahahahaaaa, hivi FirstLady1 yuko wapi siku hizi manake simuoni kabisa. Kapotea kama Mariaroza alivyopotea baada ya kumpata KakaKiiza. Ila juzi ni kama nilikutana na Passion Lady akiwa na Rejao nikaamua kuwachunia tu na walikuwa wanachomwa jua kwa vile walikuwa wanatembea kwa mguu.
Of course niliwachunia kwa vile nilikuwa nimempa lift miss chagga na sikutaka usumbufu wa mtu wa tatu.
Hahahaaaaaa, JF huwa inanipa raha sana. Hebu we Dinazarde njoo usome uchunguzi wa MCHUNGUZI HURU hapa!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
tehe tehe tehe tehe just kidding ni hulka ya mtu we tulia wacha wenzako wachangamkie fulsa
Araaaaa kumbeee !!! Senkiyu kwa uchunguzi.......... Mmh nawewe ulipata wangapi hapa?Vijana wengi hapa jamiiforums wanashindwa kupata wanawake mpaka inafika hatua watu wanaanzisha thread ikihoji ''hivi kuna mtu ameshawahi pata demu jf?'' ukweli ni kwamba hapa JF kuna mbunye nyingi sana ila tatizo vijana wengi hawajui jinsi ya kupata, Ungana nami MCHUNGUZI HURU katika uchunguzi wangu nilioufanya kipindi cha karibuni....
KOSA KUBWA LINALOFANYWA NA WATONGOZAJI NI:
Kwenda PM moja kwa moja na kuanza kuuliza taarifa personal. Uchunguzi wangu umebaini ya kuwa wanawake wengi waliofatwa PM moja kwa moja wamekuwa wachoyo wa taarifa, wanakosa imani kwa muombaji wa taarifa, hivyo wanahitaji mazoea kwanza kabla ya kuombana taarifa. Nani asiyejua kuwa kufahamiana pamoja na kuchukua namba ya simu ni moja ya hatua kubwa ya kutongozana?? Ukienda PM moja kwa moja hupewi taarifa yoyote ile wala namba za simu kudadeki zako.
UFANYE NINI:?
Ndugu watongozaji, uchunguzi wangu umebaini kuwa wengi wanaogegedana hapa jamiiforums walianza kwa kutengeneza mazoea pamoja na utani wa hapa na pale kabla hawajaenda PM. Huwa wanatengeza vipi mazoea? Ndugu watongozaji, mazoea yanatengezwa kwa:
1. kuhakikisha una-comment kila thread atakayotoa huyo unaye mmendea
2. kuhakikisha una-like post zake popote pale utakapoziona
3. kuhakikisha unam-mention katika thread au post utakayovutiwa nayo
4. ukiona post yake MMU, unamtania.
tEknIKI zao utasikia: Mamndenyi njoo huku au miss chagga unapigwa majungu huku au mpenzi wangu masai dada mbona upo kimya sana au kigori wa kilwa mchepuko wangu pitia hapa usome......... Ukiona hivyo ujue ni wale ndugu watongozaji wajanja wanajitengenezea mazingira
Kwa kufanya hivyo utakuta nae siku nyingine anaku-mention katika thread mbalimbali ujue mazoea yameshanoga, hapo ukienda PM hausumbuliwi, hata kukunyima namba yake ya simu atakuonea aibu lakini ukienda kichwa kichwa mbunye za JF utazisikia tu redioni.
MCHUNGUZI HURU