Jinsi ya kutongoza hapa Jamiiforums

Jinsi ya kutongoza hapa Jamiiforums

Mmh! Niliwahi kumkurupukia mtu mmoja humu akaniambia ni mama wa miaka 45,pozi likaniisha! Nakiri,kuna wadada nafahamiana nao humu na hapa kwenye uzi nawaona wanatiririka safi tu! Kizuri zaidi,hakuna hata mmoja aliyewahi kujilaumu kukutana na mimi,make huwa sipo after mbunye japokuwa baada ya kumeet nao wengi hunitaka tu do! Something that i will never do,shida yangu huwa ni tofauti kbs na fikra zao. Natamani niwamensheni hapa ili wakonfem maneno yangu ila siwezi,nisije haribu mishemishe zangu bure..
 
Akhuu mie hata ulike au umention haunipati ng'o!
Halafu sijawahi consider nani ananimention sana au kulike,
pm nako sifungu labda niwe nimeweka tangazo la biashara...wee nenda tu kwa J.lee,
nae nna mashaka ni mcheza karate
Ngoja na mimi niite J.lee njoo ukichelewa Jawilat anachukua chance yako.
 
Last edited by a moderator:
Akhuu mie hata ulike au umention haunipati ng'o!
Halafu sijawahi consider nani ananimention sana au kulike,
pm nako sifungu labda niwe nimeweka tangazo la biashara...wee nenda tu kwa J.lee,
nae nna mashaka ni mcheza karate

Hahahaha....ngoja nami nijaribu kama kweli?. Jawilat..
 
Last edited by a moderator:
Akhuu mie hata ulike au umention haunipati ng'o!
Halafu sijawahi consider nani ananimention sana au kulike,
pm nako sifungu labda niwe nimeweka tangazo la biashara...wee nenda tu kwa J.lee,
nae nna mashaka ni mcheza karate
hahahahaaa!!!@Jawilat niachie bhabha bhoke wangu Molembe.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa, hivi FirstLady1 yuko wapi siku hizi manake simuoni kabisa. Kapotea kama Mariaroza alivyopotea baada ya kumpata KakaKiiza. Ila juzi ni kama nilikutana na Passion Lady akiwa na Rejao nikaamua kuwachunia tu na walikuwa wanachomwa jua kwa vile walikuwa wanatembea kwa mguu.

Of course niliwachunia kwa vile nilikuwa nimempa lift miss chagga na sikutaka usumbufu wa mtu wa tatu.

Hahahaaaaaa, JF huwa inanipa raha sana. Hebu we Dinazarde njoo usome uchunguzi wa MCHUNGUZI HURU hapa!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
Hivi kuna mbinu zautongozaji kama zipo ningekuwa na Dinazarde maana mimi kwake nimekuwa kama mkate kwenye chai!
Ila haya mambo mnaweza kumuuliza special consultant Asprin akisaidiwa na Mentor hawa wanajua mbinu kwamfano Mentor yeye anajua party za JF lazima atangaze Birthday kwakuwa anajua watakuja kumsindikiza hapo afanyi kosa!Babu basprin yeye hutumia kauli mbiu!Hila huyu Kaizer ninoma sana maana ni polepole huku anapopita anafuta nanyayo ila sasa huyo Vin Diesel yeye ni Target ranger akishaweka kwenye Target Nyati bahati mbaya ikapita Pongo yeye anakamua Trigger ni kijana namwaminia kwa kipande ya sniper dep/Ila sasa huyu Mtambuzi anambinu zake za ajabu sana yeye anaaga wakati sherehe imenoga mnakuja kustukia sherehe imeisha na yeye hayupo na watu baadhi wamepungua ukimuuliza utasikia mimi nakaa mbali nimetangulia!!mhmm!!Kiboko ni Madame B yeye wewe tu labda huwe mwoga!
 
Hahahaha.. KakaKiiza mbinu zako zikoje..
 
Last edited by a moderator:
Vijana wengi hapa jamiiforums wanashindwa kupata wanawake mpaka inafika hatua watu wanaanzisha thread ikihoji ''hivi kuna mtu ameshawahi pata demu jf?'' ukweli ni kwamba hapa JF kuna mbunye nyingi sana ila tatizo vijana wengi hawajui jinsi ya kupata, Ungana nami MCHUNGUZI HURU katika uchunguzi wangu nilioufanya kipindi cha karibuni....

KOSA KUBWA LINALOFANYWA NA WATONGOZAJI NI:
Kwenda PM moja kwa moja na kuanza kuuliza taarifa personal. Uchunguzi wangu umebaini ya kuwa wanawake wengi waliofatwa PM moja kwa moja wamekuwa wachoyo wa taarifa, wanakosa imani kwa muombaji wa taarifa, hivyo wanahitaji mazoea kwanza kabla ya kuombana taarifa. Nani asiyejua kuwa kufahamiana pamoja na kuchukua namba ya simu ni moja ya hatua kubwa ya kutongozana?? Ukienda PM moja kwa moja hupewi taarifa yoyote ile wala namba za simu kudadeki zako.

UFANYE NINI:?
Ndugu watongozaji, uchunguzi wangu umebaini kuwa wengi wanaogegedana hapa jamiiforums walianza kwa kutengeneza mazoea pamoja na utani wa hapa na pale kabla hawajaenda PM. Huwa wanatengeza vipi mazoea? Ndugu watongozaji, mazoea yanatengezwa kwa:
1. kuhakikisha una-comment kila thread atakayotoa huyo unaye mmendea
2. kuhakikisha una-like post zake popote pale utakapoziona
3. kuhakikisha unam-mention katika thread au post utakayovutiwa nayo
4. ukiona post yake MMU, unamtania.

tEknIKI zao utasikia: Mamndenyi njoo huku au miss chagga unapigwa majungu huku au mpenzi wangu masai dada mbona upo kimya sana au kigori wa kilwa mchepuko wangu pitia hapa usome......... Ukiona hivyo ujue ni wale ndugu watongozaji wajanja wanajitengenezea mazingira

Kwa kufanya hivyo utakuta nae siku nyingine anaku-mention katika thread mbalimbali ujue mazoea yameshanoga, hapo ukienda PM hausumbuliwi, hata kukunyima namba yake ya simu atakuonea aibu lakini ukienda kichwa kichwa mbunye za JF utazisikia tu redioni.
MCHUNGUZI HURU
mama la mama unaitwa huku, fanya fasta.
 
Last edited by a moderator:
hahahah Nipo genekai nalea kichanga sasa busy busy hii mambo ya mbinu za utongozaji tunawaachia vijana wenye nguvu zao

Heh, kumbe tayari mama? Hongera sana, Mungu ampe afya njema huyo mwanetu!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom