kiunzi
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 515
- 364
Kwa anayejifunza; tafuta sehemu tulivu isiyo na kelele .Lala chari,legeza viungo vyako vyote achana na vyote katika mwili na mawazo kuyahisi na kuvihisi ,achana na mawazo yako yote kabisa sikiliza pumzi yako tuu na mzunguko wa damu na mapigo ya moyo na hivi navyo uviache na ubaki mwenyewe tuu , . mawimbi ya akili yatatingisha au chochote paja la USO na ndiyo unaingia sasa na kutetemeka au kupaa hewani na kujihisi we we ni skeleton haswa. Na unaweza Fanya chochote sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app