Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Rakims naomba kuuliza
Kuna mda nakuwa nimelala afu inakuwa kama ndoto naota lakini katika ndoto nakuwa nahisi baridi ya ukweli yaani nahisi baridi haswaa napata hofu fulani then najiambia bora niamke napambana kwa kujiambia kisha naamka
any realtion?
kwamba may be naweza jipa ujasiri ikawa kama ndio hiii?
Hapana mkuu rejea thread yangu ya sleep paralysis na jinamizi,

Rakims
 
Nmeona hapo mwanzo bwana paskali ametuonya.Hii kitu ni hatari.unaweza poteza maisha.Pia kuna channel za you tube zinasema kujaribu hii astra ni njia moja wapo ya kuyafungulia majini
Pascal ni mtu kama wanadamu wengine hivyo hivyo watu wa youtube hutengeneza videos for increase viewers lakini kwako, why don't you find out yourself hiyo ndio wanaume wa kweli hufanya otherwise utakuwa unasubiri watu wafanye wewe uangalie tu, kwa nini wewe usianzishe chako hata useme kwamba wakuu kwenda huko ni sawa na umeenda mwezini n.k

You do it wanaoelimisha watu wao wanatumia experience zao
 
Mkuu Rakims!
Elimu ya mambo ya kiroho unayoitoa hapa ni kubwa na laiti watu wangekuwa serious kujifunza kuna vitu wangepata. Mie nakufuatilia na nafurahi kwa sbb karibu 99% ya kile ufunzacho ni kweli tupu.

Endelea mkuu.
 
Mkuu Rakims!
Elimu ya mambo ya kiroho unayoitoa hapa ni kubwa na laiti watu wangekuwa serious kujifunza kuna vitu wangepata. Mie nakufuatilia na nafurahi kwa sbb karibu 99% ya kile ufunzacho ni kweli tupu.

Endelea mkuu.
Nataka niulize pia kuhusu hii OBE ambayo kimsingi na hawa wachawi (na hata watu wa mambo ya dini, baadhi yao) huitumia, je, wanatumia utaratibu kama huu ili kwenda kwenye realm nyingine au wao wanafanyaje hasa?
 
Kwa wale wanaofahamu darasa la kuinua vibration ya mwili spiritual practices kwao huwa ni rahisi sana na wanaweza fanya lolote lakini kama unapractice na hujui ku high na kuseal aura basi hata ukifanya meditation mbele ya guider utakuwa bado unaogopa tu, na uki master vema meditation na AP basi unakuwa multiple places at same time hata mtu akisogelea mlango wako au mwili wako unamskia na pia kule AP unakuwa kama mithili ya mtu aliyevaa earphone na pia unaweza ukaenda past the same time present the same time future

NB: uoga na elimu ndogo ndio vinavyofelisha wengi first rule to perform spiritual practices is Relaxation and Understanding lakini kama utaanza na Experience umeshafail mkuu

pasco
Mshanajr
MziziMkavu

Na wengine ambao walishapractice hayo wanajua hilo
Nothing comes easy without tests

Rakims
Wakuu Rakims, mshana Jnr na MziziMkavu!
Hivi wale manabii au waganga wa kienyeji wanaoweza kujua past, present na future ya mtu WANAFANYA FANYAJE HASA???
 
Mkuu Rakims!
Elimu ya mambo ya kiroho unayoitoa hapa ni kubwa na laiti watu wangekuwa serious kujifunza kuna vitu wangepata. Mie nakufuatilia na nafurahi kwa sbb karibu 99% ya kile ufunzacho ni kweli tupu.

Endelea mkuu.
Shukran kaka tupo pamoja
 
Nataka niulize pia kuhusu hii OBE ambayo kimsingi na hawa wachawi (na hata watu wa mambo ya dini, baadhi yao) huitumia, je, wanatumia utaratibu kama huu ili kwenda kwenye realm nyingine au wao wanafanyaje hasa?
wao wanategemea zaidi low entities ambazo huwavuta nje ya mwili na mwili husika kuuhifadhi pembeni kisha kuweka kiini macho pale ambapo muhusika alipo, wengine huacha miili yao ikiwa possessed by demons na kutoka nje kwa makubaliano fulani lakini wengine pia hasa watibabu wao hutoka na kuchungulia pamoja na kuhoji roho ya muhusika inatatizo gani,
 
Wakuu Rakims, mshana Jnr na MziziMkavu!
Hivi wale manabii au waganga wa kienyeji wanaoweza kujua past, present na future ya mtu WANAFANYA FANYAJE HASA???
past kujua ni kweli present pia wanaona lakini future huwa wanatizama kile ulichonacho kitafanya nini au kimepanga kufanya nini wengine huishia Guessing
 
Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo hao wanafunzi wenu, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.

Masharti ni haya.
  1. Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa funguo, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha kwa kukutingisha kwa nguvu na kuchange ile position yako hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
  2. Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ya astra plane ndio bora zaidi kuliko real world, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, wewe ni safari jumla!.
  3. Hizi ni highest stages za meditation ambazo haziruhusiwi kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised vinginevyo ni safari jumla!.
  4. Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening up the "third eye!"
  5. Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Wito wangu mimi wa wafuatiliaji wa haya makitu, kama hujui unataka nini, au utoke out of body ili kuachieve nini, please don't do it!. Mtu asikudanganye kuwa its very fun to go out of body, is not fun!. Too much knowledge on anything is harmful, please don't try unless you are sure what you are trying to do!.

Paskali
Wewe ulishawahi kufanya?
 
Pascal ni mtu kama wanadamu wengine why don't you find out yourself hiyo ndio wanaume wa kweli hufanya otherwise utakuwa unasubiri watu wafanye wewe uangalie tu,
Mimi nimetoa tuu angalizo, whoever wish to do that, must know the risk behind, kitu cha msingi ni mtu unataka kutoka out of body to do what?.

Wanga na wachawi ndio wanaotumia sana out of body, hao wanafunzi wenu mnawafunza out of body ili wafanye nini?.

Haya ya wanaume wa kweli hufanya, hata kama ni kuijaribu sumu kwa kuilamba, hapana!.
P
 
Back
Top Bottom