Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,788
- 2,867
Asante sana kwa uzi huu sioni haja ya kuiga ukisasa maana Gym hazikuwepo aisee
Siku hizi nimewaachia vijana hayo mambo.Mkuu ulikua unatengeneza kitu kikali sana, salute.
Ndiyo, nimeshuhudia mtu akidondoka bafuni baada ya kuanza kuoga, ilikua tupo gym tukimenyeka.Je kuna madhara yoyote ya kuoga maji ya baridi mara tu baada ya kumaliza kufanya mazoezi ??
Muhimu sana hii kitu binafsi baada ya zoezi nilikua nalala chali /kifudifudi kisha mamsapu anatembea juu yangu kuanzia vidole vya mkono mpaka kwenye kwato. Mifupa na joint zote zinanyooka kisha unaunyoosha msuli wa ta.ko umemaliza kazi.Maelezo mazur mkuu, ongeza na haya
1. Kabla ya kuanza mazoez ni vizur ku fanya warm-up ili kuuandaa moyo kwajir ya kusukuma damu haraka.
2. Kumbuka kufanya kujinyoosha (stretching) kabla na baada ya zoez kuepusha kukakamaa(kupoteza mnyumbuliko wa mwili
3. Kumbuka kunywa maji kidogo kabla ya zoez (kama dk30 kabla) Pia baada kufidia maji utakayopoteza kwanjia ya jasho. Kumbuka kupumzika vizur na kupumua vzur
Kwakweli lakini hata majukumu yakikukaba unapanga ratiba yako vizuri tu.Ngoja tufuate nyayo majukumu yakibana na sisi tutaachia wengine.
Nimepunguza mkuu, siku hizi naruka ruka hayo mambo yamekua kama kachumbari tu.Aah basi wewe utakua siyo mtu mzuri mpaka sasa hivi.
Hapo umemaliza nnachopendea mazoezi ya pushup na kukimbia mwili unafanya unachowezaUkimaliza hapo ongeza mazoezi ya tumbo....
Then ya viungo na mwisho kukimbia kuongeza pumzi na kuchoma futa....
Ok thanx,maana hawa mashugamumy nna bahati nao tatizo wananisakama sana!Kama unakula na kupumzika ipasavyo wiki mbili mpaka tatu zinatosha kukuonesha ulichotaka kionekane.
Hata hivyo kama una malengo ya kuwa na mwili mkubwa mpaka nyumbani ufukuzwe (samahani kama hauishi nyumbani) hii guide haitoshi inabidi uingie gym kabisa.
Mpangilio wa chakula uweje haswa kwa mtu wa kufanya mazoez hayo?Kama unakula na kupumzika ipasavyo wiki mbili mpaka tatu zinatosha kukuonesha ulichotaka kionekane.
Hata hivyo kama una malengo ya kuwa na mwili mkubwa mpaka nyumbani ufukuzwe (samahani kama hauishi nyumbani) hii guide haitoshi inabidi uingie gym kabisa.
Mpangilio uwe kama ukiwa unafanya mazoezi mengine (yaani intake ya calories na protein iwe juu) hii ni kwa siye vimbau mbau au wenye miili ya kawaida. Mnene mlo wake inabidi aukate katika intake ya calories ili aukate mwili.Mpangilio wa chakula uweje haswa kwa mtu wa kufanya mazoez hayo?
Yaani mm sijafahamu kabisa hio Sparta inakuajeAisee kwanza hongera lakini utagundua kua kwa sasa hivi hazikupi tena changamoto.
Kwa spartan fanya kwamba mikono ikishakaa kama ile picha inavyoonesha utakua ukija juu unakua kama unataka kupiga pushap za kupiga makofi (hivyo utakua unanyanyua mikono yako off the ground).
Lakini kila ukinyanyuka mkono uliokua nyuma utaenda mbele, uliokua mbele utarudi nyuma.
Kama bado mkuu, usisite kuniuliza.