loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,306
- 5,314
Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Alfan Mrisho Kikwete ameonekana kwenye mitandao ya kijamii akifanya mazoezi makali ya gym.
Mstaafu huyo mwenye miaka 75 lakini anaonekana kama ana miaka arubain alifanya mazoezi chini ya mkufunzi maarufu wa maswala ya gym Denzel trainer.
Ni mfano mzuri sana mstaafu huyo anonyesha kwani ni vizuri kuhamasisha watu wale vizuri na kufanya mzoezi ili kutunza afya ya mwili na akili.