Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,786
- 13,566
Mazoezi napenda na ninafanya sana tu tatizo langu ni msongo wa mawazo.Aisee mawazo ni mabaya sana.
Naenda mazoezi Sana kuliko chochote na tukubaliane kuwa ukimaliza mazoezi unajisikia Raha Sana
Hahahahaha!!!Mkuu umepata dem mzungu?
Hizi picha za wanawake hapo chini kijeshi tunasema ana t@mba ardhi
Znaongeza uimara wa.mkonoHaina madhara, ila zile ni mbwembwe tu ambazo haziongezi chochote.
Kama yapi mkuu?Afanye mazoez ya mwili wote
Ni kwa kutenga mazoezi ya kila sehemu na siku yake.Kama yapi mkuu?
Mkuu mbona una wivu wa kijinga?Avatar yako inajieleza mkuu
Alafu mtu kufanya mazoezi ya kukata mwili siyo kila mtu anafanya kwa ajili ya kupendwa na madem.Wewe unataka kutengeneza sijui ma- six packs upendwe na mademu..mi sipo huko. Mi nazungumzia kuwa physical fit. Watu wa gym wengi juu ni wakubwa chini wadogo. Mi sipo huko. Mi nipo kiafya zaidi
Kweli binadamu tunatofautiana ,Mazoezi napenda na ninafanya sana tu tatizo langu ni msongo wa mawazo.Aisee mawazo ni mabaya sana.
bila trainer mkuu nitaweza?So ishu ni haujui cha kufanya?