Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Naomba kujua gharama za kunisaidia kufungua kampuni ukijibu hapa itapendeza
Gharama za kusajili kampuni zinatofautiana kutokana na mtaji uliosajili na ada unayolipia BRELA. Gharama zimegawanyika hivi: Gharama zetu ie consultation fee hadi unakabidhiwa file la kampn iliyosajiliwa na kupata mwongozo na ushauri juu ya masuala ya kampn, kodi na mengineyo ni:

1. Mtaji kati ya TZS. 20,000.00 hadi TZS. 1,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 167,200.00
Consultation fee TZS. 150,000.00

2. Mtaji kati ya TZS. 1,000,001.00 hadi TZS. 10,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 247,200
Consultation fee TZS. 200,000.00

3. Mtaji kati ya TZS. 10,000,001.00 hadi TZS. 50,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 366,200.00
Consultation fee TZS. 250,000.00

4. Mtaji kati ya TZS. 50,000,001+
Ada BRELA ni TZS. 512,200.00
Consultation fee TZS. 300,000.00

Angalizo: Gharama za Consultation hazijajumliishwa VAT. Hivyo weka 18% VAT kwa kila consultation fee

Karibu sana
Check us: E-Mails:
info@afrolink.co.tz
info@cityaccountax.co.tz
 
Habari, naomba utaratibu wa kufungua Kampuni ya kifedha, microcredit company.
 
Habari wakuu,,
Naombeni mnisaidie hapa kwamba kikundi cha kijamii kilichosajiriwa na halmashauri ya wilaya kina uwezekano baadaye kikasajiliwa kikawa limited company na Kama Ni hivyo Nn kinachohitajika....???
 
Yawezekana;
Kuna taratibu za kutosha.
Wasiliana nasi
 
Tunafunga Gps car tracking system kwa siri ili kuzingatia ulinzi na kujua mwenendo wa gari , bajaji, pikipiki yako kwa bei nafuu.
Tupo Dar Es Salaam na pia kwa mikoani tuna mawakala wetu.

Kuona speed
Kuona Sehem gari/bajaji/pikipiki yako ilipo
Kuizima na kuiwasha
Kujua routes
Kuipigia sim na kupigiwa sim
Geo fance
Engine status etc.

Pia tunafunga kujua mwenendo wa mafuta

Piga 0766003375
 
Tunafunga Gps car tracking system kwa siri ili kuzingatia ulinzi na kujua mwenendo wa gari , bajaji, pikipiki yako kwa bei nafuu.
Tupo Dar Es Salaam na pia kwa mikoani tuna mawakala wetu.

Kuona speed
Kuona Sehem gari/bajaji/pikipiki yako ilipo
Kuizima na kuiwasha
Kujua routes
Kuipigia sim na kupigiwa sim
Geo fance
Engine status etc.

Pia tunafunga kujua mwenendo wa mafuta

Piga 0766003375
 
Tunafunga Gps car tracking system kwa siri ili kuzingatia ulinzi na kujua mwenendo wa gari , bajaji, pikipiki yako kwa bei nafuu.
Tupo Dar Es Salaam na pia kwa mikoani tuna mawakala wetu.

Kuona speed
Kuona Sehem gari/bajaji/pikipiki yako ilipo
Kuizima na kuiwasha
Kujua routes
Kuipigia sim na kupigiwa sim
Geo fance
Engine status etc.

Pia tunafunga kujua mwenendo wa mafuta

Piga 0766003375
 
Gharama za kusajili kampuni zinatofautiana kutokana na mtaji uliosajili na ada unayolipia BRELA. Gharama zimegawanyika hivi: Gharama zetu ie consultation fee hadi unakabidhiwa file la kampn iliyosajiliwa na kupata mwongozo na ushauri juu ya masuala ya kampn, kodi na mengineyo ni:

1. Mtaji kati ya TZS. 20,000.00 hadi TZS. 1,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 167,200.00
Consultation fee TZS. 150,000.00

2. Mtaji kati ya TZS. 1,000,001.00 hadi TZS. 10,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 247,200
Consultation fee TZS. 200,000.00

3. Mtaji kati ya TZS. 10,000,001.00 hadi TZS. 50,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 366,200.00
Consultation fee TZS. 250,000.00

4. Mtaji kati ya TZS. 50,000,001+
Ada BRELA ni TZS. 512,200.00
Consultation fee TZS. 300,000.00

Angalizo: Gharama za Consultation hazijajumliishwa VAT. Hivyo weka 18% VAT kwa kila consultation fee

Karibu sana
Check us: E-Mails:
info@afrolink.co.tz
info@cityaccountax.co.tz
Samahani mkuu hizi ada na gharama ulizoweka hapa ni za brela? Msaada boss maana nipo mbioni kufungua kiwanda kidogo cha vyakula plz nijulishe nini nifanye kiwanda hicho nitakiendesha kwa hisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naona threads nyingi zinazungumzia usajili wa enzi zile za zamani.

Naomba anaejua namna ya kusajili kampuni kwa ORS anipe muongozo maana kuna mwanasheria nimempigia simu kuhusu memart anasema siku hizi sio kama zamani saizi memart naweza andaa mwenyewe tu akanigongea muhuri.

Na kama kwenye kampuni niko na foreigner anaeishi nje ila tunataka kufungua limited company sio partnership hapo utaratibu ukoje?
Ulifikia wapi kusajili kampuni boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nipo ubia na foreigner inakuaje kwenye limited company?
Mkuu umefunga pm kuna swali nilitaka kukuuliza, mimi pia nataka kusajili kampuni na nina ubia na mtu wa foreigner je hii imekaaje, ulipata msaada kwenye hapa?.mods kama kuna mtu anajibu la swali langu msaada plzz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naona threads nyingi zinazungumzia usajili wa enzi zile za zamani.

Naomba anaejua namna ya kusajili kampuni kwa ORS anipe muongozo maana kuna mwanasheria nimempigia simu kuhusu memart anasema siku hizi sio kama zamani saizi memart naweza andaa mwenyewe tu akanigongea muhuri.

Na kama kwenye kampuni niko na foreigner anaeishi nje ila tunataka kufungua limited company sio partnership hapo utaratibu ukoje?
Nakazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom