Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mtaji wa mil 1 ni 177,200
Mtaji zaidi ya mil 1- 5 ni 267,200
Mtaji zaidi ya mil 5 - 20 ni 357,200
Mtaji zaidi ya mil 20- 50 ni 387,200
Mtaji zaidi ya mil 50 ni 532,200
NB hizo ni gharama za usajili wa limited company ynye mtaji na shares na zinajumuisha registration fee,filling fee na stampduty
Hizo gharama bado zipo hivi hivi au zimebadilika 2020 hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama za kusajili kampuni zinatofautiana kutokana na mtaji, Gharama unayolipia BRELA:

1. Mtaji kati ya TZS. 20,000.00 hadi TZS. 1,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 167,200.00

2. Mtaji kati ya TZS. 1,000,001.00 hadi TZS. 10,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 247,200

3. Mtaji kati ya TZS. 10,000,001.00 hadi TZS. 50,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 366,200.00

4. Mtaji kati ya TZS. 50,000,001+
Ada BRELA ni TZS. 512,200.00

NOTE: Gharama hizi hadi leo Alhamisi, Tarehe 01.10.2020
 
Ubarikiwe we jamaa, nina swali liningine mimi nafungua kiwanda kidogo cha mambo ya nafaka nk na nimepata partner yupo nje ya nchi, nisaidie mambo machache, je na yeye ni lazima awe na TIN,

Na je SIDO inaumuhimu gani kuandikia barua kwa shughuli zangu nazotaka kuzifanya je ni muhimu? Ni hatua gani natakiwa nisiruke pia naomba unisaidie hayo maswali

Pia nilishafunguaga biashara ya spare nikafunga ile biashara je naweza tumia ile ile TIN, na nilifunga na kulikua na deni la laki tano je nifaweza tumia TIN hiyo hiyo kusajili brela kiwanda changu kidogo, msaada wa kina boss ili nijue nini cha kufanya nakushukuru.

Amiin

1. Usajili wa kampuni na 'Foreigner'
Vielelezo vinavyotakiwa ni:
Kwa Mtanzania
1. TIN
2. Kitambulisho /no za Kitambulisho cha Taifa

Kwa Foreigner
1. Passport
2. Kitambulisho cha Ukaazi hk kwao (ziada)
Akutumie vlvl soft copy uambatanishe

Baada ya mchakato wa usajili wa kampuni kukamilika ndiyo mkurugenzi mmojawapo ataenda TRA na vielelezo vyote kupata TIN ya kampuni

2. SIDO
Hii ni taasisi inayosimamia wajasiriamali na viwanda vdg vdg hapa Tanzania.
Faida zake kwako wewe mzalishaji:
1. Kukutambulisha ktk Taasisi mbalimbali kama vile Manispaa yk, TMDA, TBS, Taasisi za fedha nk
2. Kukuwezesha kupata vibali kirahisi baada ya utambulisho mf: TBS - Viwango na ubora, Manispaa- Leseni et al
3. Kukupa ushauri juu ya muundo na mipangilio ya kiwanda chako unachotaka kuanza kitaalam
4. Kupata wataalam ambao watakushauri namna bora ya kuendesha mradi wako
5. Kukutanishwa na wajasiriamali na wana viwanda wenzako ambao mtashauriana ktk mambo ya uzoefu, masoko, changamoto nk
6. Kupata sapoti za ushawishi ktk kupata/kuwezeshwa mikopo kutoka SIDO yenyewe na taasisi za fedha

Hizi ni baadhi tu, kwa hy ni muhimu sana kufanya hivi
 
Ahsante sanaaaa umenifungua sana macho mkuu, so SIDO ni hiari au ni lazima kujiunga nayo

Na pia nawasiwasi SIDO wakaja niibia idea yangu kabla sijaanza na hiyo idea maana idea hiyo naifnaya kwaajili ya kusolve tatizo kwa jamii kupitia product zangu, sasa najiuliza SIDO ni kisheria lazima niwe nao bega kwa bega au naweza kufuatilia mwenyewe bila msaada wa SIDO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia nilishafunguaga biashara ya spare nikafunga ile biashara je naweza tumia ile ile TIN, na nilifunga na kulikua na deni la laki tano je nifaweza tumia TIN hiyo hiyo kusajili brela kiwanda changu kidogo, msaada wa kina boss ili nijue nini cha kufanya nakushukuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Matumizi ya TIN
Hii ni namba yako maalumu ya kulipa kodi na huqezi kuwa na TIN mbili kwa mtu mmoja. Hivyo basi, utaendelea na TIN hii ktk maisha yako yote kibiashara na nje ya biashara

2. Deni ulilokuwa hujalipa
Hili deni kwa kuwa lipo ktk TIN yako binafsi, litabaki kwako mpaka utakapolipa ndiyo litaondolewa. Kumbuka ukishakuwa na kampn na kama wewe ni Mkurugenzi na mshahara wako haupo ktk payroll ya kampuni utatakiwa kuwa unaasilisha mapato yako kisha yanachajiwa kodi. Ss hili deni utalikuta huko ukishafanyiwa 'assessment' ya mapato yako binafsi
 
Hizo gharama bado zipo hivi hivi au zimebadilika 2020 hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Mabadiliko ni kidogo sababu Sasa unawasilisha memorandum kitabu kimoja badala ya vitatu au zaidi ambayo by then ilikuwa inaongezeka gharama ya filling fee kwa kila kitabu utachotaka kiwe kimegongwa muhuri wa stamp duty
Gharama za usajili wa limited company online kwa sasa kuanzia feb 2018 ni kama ifuatavyo:-

Kwa company mtaji wa Mil 5 ni 247200

Zaidi ya mil 5 hadi 20 ni 347200

Zaidi ya mil 20 hadi 50 ni 362200

Na zaidi ya 50 mil ni 512200
 
Naomba msaada kwenye tuta.

Nataka kufungua kampuni itakayo kuwa inatoa huduma kitataifa na kimataifa.

Assume mapato/faida yangu kwa kota ni 6,000,000/=. Je makato yake ya kodi kwa mwaka/kota yanaweza kuwa yapi na kwa asilimia ngapi!
Usijali Mkuu

Sisi pia ni Registered Tax Consultants, hivyo ntakujibu

1. Makato ya kodi kwa kampuni ni 30% ya faida ghafi unayopata kwa mwaka mzima. Kodi hii utaijua baada ya kufanya mahesabu ya mizania

2. Tukirejea katika mfano wako, kama tulivyosema hapo juu ni kuwa kodi itakokotolewa kutoka ktk faida ghafi kwa mwaka mzima na sio robo ya mwaka. Kwa mfano kama mil 6 ni faida ghafi kwa mwaka utazidisha na 30% = 1.8mil na gawa kwa awamu nne za ulipaji kodi ie Ending Machi 31, Juni 30, Septemba 30 na Disemba 31 kila awamu utalipa 450,000.
 
Back
Top Bottom