Habari wakuu naomba kuuliza kama nikisajili jina la biashara tu je kodi nitakadiriwa kama mtu binafsi au nitalipa kama kampuni
Habari wakuu naomba kuuliza kama nikisajili jina la biashara tu je kodi nitakadiriwa kama mtu binafsi au nitalipa kama kampuni
Kiongoz lembu,heb nisaidie kitu maana hawa customer care wa brela ni wapumbaf sana okay ni hivSijakuelewa, unazungumzia doc ipi?
Swadakta kiongoz,na pale kwenye representation statement unaandika tuu title kama ni Director or partner or na vijineno kidogo kwa mbali
Una fanya vipi ukitaka kujiandikisha ONLINE? Nadhani BRELA wanao utaratibu mpya, hebu ingieni kwenye website ya BRELA mfanye mambo kupitia humo kama wanavyo jinasibu siku hizi.Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu.
-------------------------------------
Asa ivi wamerahisisha ukiwa na namba ya nida tuuu una pewa tin namba kwa njia ya onlineKupata TIN lazima uwe/ ufanye yafuatayo:
1. Form mbili hutolewa na TRA moja unajaza mwenyewe na nyingine ofisi ya serikali ya mtaa.
2.Passport size 4 mbili utapeleka kwa SM na mbili nyingine TRA
3.ambatanisha na driving licence au kitambulisho cha mpiga kura au taiga
Watakupatia, kila la kheri.
Naomba link mkuuAsa ivi wamerahisisha ukiwa na namba ya nida tuuu una pewa tin namba kwa njia ya online
Sent using Jamii Forums mobile app