Jinsi ya kupika tambi

Kazi ndogo mkuu :- chukua sufuri tupu pasha moto mdogo weka kijimoja Siagi au mafuta ya kupikia,baada ya kuyayuka mimina tambi afu kaanga kwa pozi baada ya dakk3 weka maziwa au maziwa vikombe kadhaa weka sukari kiasi chako kuroga kiduchu afu funika dakika 5 tu!! mambo hayo tambi safi utakula!!
images
.
images

Saa-heeb nimependa mapishi ya tambi lol....
 
Kazi ndogo mkuu :- chukua sufuri tupu pasha moto mdogo weka kijimoja Siagi au mafuta ya kupikia,baada ya kuyayuka mimina tambi afu kaanga kwa pozi baada ya dakk3 weka maziwa au maziwa vikombe kadhaa weka sukari kiasi chako kuroga kiduchu afu funika dakika 5 tu!! mambo hayo tambi safi utakula!!
images
.
images

Nimependa hio ya pili inavutiaje!!...hizo ni rangi ama nn?.. tujifunze mambo ya kupamba sahani:)
 
nimependa hio ya pili inavutiaje!!...hizo ni rangi ama nn?.. tujifunze mambo ya kupamba sahani:)
Ahlen Wasah-Len Ukhtii... Ma3alesh!! nsijekukuunguzia Tambi zako,! halafu ulaze familyia bila mloo! mie sii profeshno.... kama Farkhy !! Mie huCopy na kuchafua jikoo!!
Okay.., 1.
hii waunga na jelly au choco-cups
images

hii waunga na pastry & condens milk
images

hii waunga na ka3aka
images

hii waunga na nuts(almond,snubar)
images

hii waunga na Zabibu,Eggs,asali
images

kazi iko kwako dadngu chafua jikoo this weekend.
good luck.
 
life is Short hapa hata km chakula hakina ladha mate lazima umeze.... :)
 
Last edited by a moderator:
Kazi ndogo mkuu :- chukua sufuri tupu pasha moto mdogo weka kijimoja Siagi au mafuta ya kupikia,baada ya kuyayuka mimina tambi afu kaanga kwa pozi baada ya dakk3 weka maziwa au maziwa vikombe kadhaa weka sukari kiasi chako kuroga kiduchu afu funika dakika 5 tu!! mambo hayo tambi safi utakula!!
images
.
images

Unaweza pia ukaweka naz badala ya maziwa
 
Kazi ndogo mkuu :- chukua sufuri tupu pasha moto mdogo weka kijimoja Siagi au mafuta ya kupikia,baada ya kuyayuka mimina tambi afu kaanga kwa pozi baada ya dakk3 weka maziwa au maziwa vikombe kadhaa weka sukari kiasi chako kuroga kiduchu afu funika dakika 5 tu!! mambo hayo tambi safi utakula!!
images
.
images
Nimeipenda hii
 
naomba msaada wa jinsi ya kupika tambi in a simple way

Weka maji jikoni yakisha chemka Tia tambi zako ziache zichemke walau .dk 5, ipua China maji weka mezani endelea kula hapo mboga yoyote ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom