Jinsi ya kupika tambi

Kha..umesoma mahali ukatafsiri ama wajua kweli??! U av amazed me kwakweli kwa upembuzi wako yakinifu..yan mtu haulizi swali.
We King'asti unaniletea pozi eti nitangoja milele wala ctaki unachek mshkaji anavojua pishi ilo?? Dah...
Babu Asprin fanya hima uwalete wake zako cacico, BADILI TABIA, Yummy, et al 'TUISHIENI'.
Mai waifu Catherine uko wapi uje huku...
Binti yetu mpendwa Eversmilin Gal njoo na ww utapoolewa usijeachika...
NB: kwann sisi tumezoea kuvunja spaghetti??!
Habari Mkuu, sijasoma tu mahali na kutafsiri, mimi nimesomea mapishi huko Italy na nimeshafanya kazi jikoni katika hotel kadhaa Dsm, Znz na Mafia, kwahiyo ninachokuandikia nakijuwa kwa maandishi na kwa vitendo.
 
Nashukuru mkuu...hebu tupe hilo pishi moja la tambi nione kama nnaeza mpiga sapraiz mama watoto....
N btw kwann umesema tusivunje spaghetti??! Yan tuzieke nzimanzima...
 
Me? Cooking for you?
Mbona utadodea hapo ukisubiri? Mie nampikia huzbend wangu tu manake siwezi kupika nisiweke japo limbwata kiduchu!

Mwambie ajue.
Wanaoshobokea "ohh sili chakula ila alichopika mke wangu" mpoooo?
 
Mbona yeye mwenyewe ananisisitiza kumuwekea limbwata kiduchu kila siku? Mwenzio apendi kuchomoka, anapenda kupendwa na mimi. Weeh VEO vipi wewe!
 
  • Thanks
Reactions: VEO
Nashukuru mkuu...hebu tupe hilo pishi moja la tambi nione kama nnaeza mpiga sapraiz mama watoto....
N btw kwann umesema tusivunje spaghetti??! Yan tuzieke nzimanzima...

Unajua kula spaghetti na uma kwa mbwembwe? Unaucoa na kuzungurusha uma zinajisokoteamo. Tatizo lako unakulatambi kiswahili na mikono.
Well, zinapendeza sana zikiwa nzima na kulika kirahisi hata kwa vijiti.

Kaka, ushuke na kitu cha spaghetti bolonaigse
 
Hahah..mapishi bora bana hayahitaji limbwata....ukiona mmeo mpaka umuekee limbwata ndo abaki na wewe ujue lishavuja ilo....
 
Mbona yeye mwenyewe ananisisitiza kumuwekea limbwata kiduchu kila siku? Mwenzio apendi kuchomoka, anapenda kupendwa na mimi. Weeh VEO vipi wewe!

Kweli limbwata lako chiboko! hadi yeye analiitisha liwekwe! Itabidi tuombe somo spesho.
 
Tafuta mchina hapo kariakoo nasikia wamejaa...halafu muulize...wewe mwenyewe utafurahi..maana nasikia hao jamaa kwa hivi vitu mwendo mdundo
 
Upishi wa tambi ndio mwenyewe,nikizipika huwa zinatoka nzuri sana,ingawa huu uzi wa zamani kidogo,bora nielezee jinsi ninavyopika mimi.
-unachukua tambi zako,unazichambua,{naongelea tambi za kukaanga}unaweka frying pan,unatia mafuta kidogo tu.tambi unazigawa mafungu mawili.fungu moja unakaanga{mafuta yanakuwa kidogo sana,zikibadilila rangi,unaweka pembeni.

-Unachukua sufuria lako,unatia maji,unachanganya tambi zote,za rangi na zisizo na rangi unatia ndani ya sufuria,unazichanganya kidogo,unavyochanganya mwiko unaoutumia,unaugeuza,kwenye ile fimbo ndio unachanganyia{inasaidia hazigandani}.baada ya muda kama dakika 5,unazichuja.

Unachukua sufuria lako,unaweka jikoni,hakikisha hakuna maji ndani,unachukua mafuta yako,kidogo tu,unatia ndani ya sufuria,mafuta yakipata moto,unachukua tambi zako,ambazo kwa muonekano,zinakuwa na rangi 2,unazitia kwenye sufuria.ukishatia tu,unatia sukari ya kiasi kulingana na idadi ya tambi zako,kinachofuatga ni hiliki iliyosagwa{inasaidia tambi zinakua na harufu nzuri}unachanganya kwa kutumia sehemu ya fimbo ya mwiko,kwa dakika moja tu.tambi zako zinakuwa tayari.ila kuna wengine wanapenda kuchanganya na zabibu kavu,ila sio lazima
 
upishi wa tambi ndio mwenyewe,nikizipika huwa zinatoka nzuri sana,ingawa huu uzi wa zamani kidogo,bora nielezee jinsi ninavyopika mimi.
-unachukua tambi zako,unazichambua,{naongelea tambi za kukaanga}unaweka frying pan,unatia mafuta kidogo tu.tambi unazigawa mafungu mawili.fungu moja unakaanga{mafuta yanakuwa kidogo sana,zikibadilila rangi,unaweka pembeni.
-unachukua sufuria lako,unatia maji,unachanganya tambi zote,za rangi na zisizo na rangi unatia ndani ya sufuria,unazichanganya kidogo,unavyochanganya mwiko unaoutumia,unaugeuza,kwenye ile fimbo ndio unachanganyia{inasaidia hazigandani}.baada ya muda kama dakika 5,unazichuja.
unachukua sufuria lako,unaweka jikoni,hakikisha hakuna maji ndani,unachukua mafuta yako,kidogo tu,unatia ndani ya sufuria,mafuta yakipata moto,unachukua tambi zako,ambazo kwa muonekano,zinakuwa na rangi 2,unazitia kwenye sufuria.ukishatia tu,unatia sukari ya kiasi kulingana na idadi ya tambi zako,kinachofuatga ni hiliki iliyosagwa{inasaidia tambi zinakua na harufu nzuri}unachanganya kwa kutumia sehemu ya fimbo ya mwiko,kwa dakika moja tu.tambi zako zinakuwa tayari.ila kuna wengine wanapenda kuchanganya na zabibu kavu,ila sio lazima

Naam kisukari nashukuru kwa maelekezo yako murua ya pishi la tambi
 
Last edited by a moderator:

Asante my dia kisukari .........jumamosi nilipika hii, ilikua poa.
 
Last edited by a moderator:
Kazi ndogo mkuu :- chukua sufuri tupu pasha moto mdogo weka kijimoja Siagi au mafuta ya kupikia,baada ya kuyayuka mimina tambi afu kaanga kwa pozi baada ya dakk3 weka maziwa au maziwa vikombe kadhaa weka sukari kiasi chako kuroga kiduchu afu funika dakika 5 tu!! mambo hayo tambi safi utakula!!
images
.
images
 
Kazi ndogo mkuu :- chukua sufuri tupu pasha moto mdogo weka kijimoja Siagi au mafuta ya kupikia,baada ya kuyayuka mimina tambi afu kaanga kwa pozibaada ya dakk3 weka maziwa au maziwa vikombe kadhaa weka sukari kiasi chako kuroga kiduchu afu funika dakika 5 tu!! mambo hayo tambi safi utakula!!
images
.
images

Kwa sie madume pia tukaange kwa pozi?
 
Aaaah ntakas kumbe una utaalam eeh na hiyo siag unaweka kama kijiko kimoja auunakadiria?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom