kiroboto21
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 887
- 326
That is very TRUE. UK kama unahela ya mawazo aaah ***** lazima uangukie pua. Mi nlikaa central london pale hela nliokua natumia daaah acha tu.
Kutoka London kwenda vimji na miji ya jirani tu kama Luton, Milton Keynes, Bedford, Brighton daaah mazee ni watoa pounds kibao.....vocha yenyewe bundle la Lebara ni £ 7.5 so ni lazima ununue £ 10.
Saloon haircut £ 10 - £12, kuchonga na ndevu £ 5 (nikaona useng* nikawa na my own hair cut machine, at times le mbebez akawa ananinyoa low cut au kuchonga ghettoni)
Luton na London its almost like Dar to Kibaha tena ni kama Kibamba mwisho tu...nauli £ 10 go and return ukichukua train ni faster na gharama zaidi. Wtf man.
Rent ya Single room or Studio usibonyeze. Uzuri kule hata ukiwa na dem lazima apige mzigo, otherwise its a crisis. Tehe
Hela per hour ipo nzuri ndio ila wit the life expenses there...it all flows back to the system. i.e. rent, bills (water, gas & electricity), council tax, income tax, national insurance, car insurance, health insurance, phone charges, car parking slots outside unalipia.
Hapo bado hujala, hujavaa. ***** utalia wewe. Unless una an excellent skilled profession ndio utamake much. Uzuri mifano ipo mcheck Le Mutuz Hahahaha
Hallo Senior Boss mimi sijawahi fanyiwa hivyo vitu popote, labda safari nitaona, sababu na tembelea Italy kisha nakuja Bongo nikipita bila kuguswa au nikiguswa nitakuletea mrejesho. Mimi wanaangalia pasport wanacheck kama si fake kisha sura basi. Pengine inategemeana na nchi ulizo pitia.
Na hii michezo Warundi hapa wanafanya sana na tena wanapitia Bongo, lakini nasikia pia wanachoma vidole sijui ni kweli
Suala Umesafiri Mda Mrefu Ku scan Vidole Hata South Afrika Ipo aisee Ni Identity ambayo wanaigundua kirahisi watu wa Migration walishaona Picha za Watu ni Uzushi so Ukizidisha mda Ukafanikiwa ukarudi Bongo Siku ya Kurudi hata kama Umenyoa kipara na Kubadilisha Jina Ukiingiza Vidole tuu system inakudaka na Kutoa details zako fasta.
Siku hizi wana scan vidole pale JNIA. Mwaka jana Desemba, nilienda nchi moja ya Asia, nilivyokuwa naondoka na Etihad wakani-scan, niliporudi waka-scan tena. Ila ya Uholanzi pale Schiphol ndio kiboko, ukishachekiwa kwenye scanner kuna jamaa lazima wakupapase papase tena kujihakikishia kwamba huna kitu mbadala umebeba. Ile ndo inakeera zaidi.
Nimeshtushwa sana na wakuu mlivyokuwa ha usongo wa kuzamia UK mara sijui US
At the same time majuzi tu nilipitia Uzi ule wa marehemu Andrew Sanga aliefariki recently kule Texas na nikaona wala vumbi wa bongo wanavyowatukana na kuwakejeli wabeba boksi wa US kuwa warudi bongo!!!
Kumbe kuwa na papers za US Ama UK ni big deal na sikulijua hilo
Haya mambo ya kuscan vidole ni kwa ajili ya watu wenye mikoba ya kibongo au mikoba ya mbele pia??msaada tafadhali
Mkoba wowote siku hizi unakuwa scanned na wanacheki fingerprints kama zinamach
Ina maana hâta kama mtu mweusi lakini una mkoba wa canada wanakupiga pia fingerprint ???
Wakuu,
Naomba kufahamishwa ni vigezo na gharama gani zinatumika kupata visa ya kuingia na kuishi United Kingdom?
Na kama kuna yeyote mwenye ndugu au jamaa anayeweza kunifanikishia visa ya UK.Mimi nipo Tanzania.
Tafadhali tuwasiliane kwa PM
Absolutely
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mi naomba msaada wa kwenda kuishi Rwanda sitaki mbali nikikwama ntarudi hata kwa bodaboda
Daah mkuu usithubutu kutuma pesa kwa ndugu... Wengi sio waaminifuHahaaa mkuu Wonderful habari za week end?Inabidi tubebane sana mkuu,familia zetu nyingi ni masikini wa kutupwa,lakini angalau kukiwa na mmoja yuko vizuri anaweza hata kusomesha wengine kwenye kaya na ukawa ndio mwanzo wa maendeleo mengine.
Pia kutuma foreign currence home kutasaidia sana katika ustawi wa jamii zetu.
Design hii mitandao kama ina territories flan hivi cz kuna maeneo service za mitandao flan huioni.....nilipokua nakaa wengi walikua Lebara....Labda ukienda mall za jirani ndio unaweza pata services za mitandao mingine kirahisi.Haaaaa life is not easy popote pale bana,tena ulikuwa unatumia libara(mtandao wa kimaskini) maana ukipiga africa unaweza ongea na mtu vizuri na mkaelewana,kuna lyca pia haaa,pole sanaaaaa
Kwanini mkuu,yamewahi kukukuta??Daah mkuu usithubutu kutuma pesa kwa ndugu... Wengi sio waaminifu
Nimekwambia ivyo cuz nimeshawahi kushuhudia mara kadhaa washkaji walioenda ughaibuni wakilizwa na ndugu.Kwanini mkuu,yamewahi kukukuta??
Design hii mitandao kama ina territories flan hivi cz kuna maeneo service za mitandao flan huioni.....nilipokua nakaa wengi walikua Lebara....Labda ukienda mall za jirani ndio unaweza pata services za mitandao mingine kirahisi.
Sent from my D2303 using JamiiForums mobile app
Nimekwambia ivyo cuz nimeshawahi kushuhudia mara kadhaa washkaji walioenda ughaibuni wakilizwa na ndugu.
Kuna jamaa alikuwa anatuma hela kwa ndugu yake kwaajili ya ujenzi wa nyumba ya familia, mwisho wasiku yule mdogo wake akawa anamtumia picha za mjengo wa jirani...
Basi mshkaji aliporudi kutoka ughaibuni kitu alichokikuta hakuamini kama pesa zake zilikuwa zinatafunwa tu. Basi jamaa akaamua kukata mawasiliano na familia yao mpaka leo hii....
Sio uyo tu... Wapo wengi nlioshuhudia wakilia kilio cha mbwa (mdomo juu)